45 mins sijaona cross hata moja
Man united mipango yao inaishia pale wanapovuka kati kwenda kwa Juve wanaanza kujifanya wao ni Barca ajabu wao wako wanne wenzao wapo nane sijui wanategemea nini, mind you wale ni world class defenders.
inconsistency inawatesa wachezaji wa United poor Martial poor Pogba poor performance.
angalau Sanchez naziona mishemishe zake ila akina Martial na Pogba wanamuangusha wanapaka sana rangi mpira wachezaji hawasogei mbele kuongeza presha kwa Juve.
Namuona De Gea, Lindelof, Herrera na Sanchez tu humu ndani nitashangaa Lingard akiendelea.