Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

You got one thing right...nimefurahia goli la Mata.

Kocha wa Juve atakuwa anajuta kuchelewa kumweka Mandzukic. Dogo Cuadrado alishachoka long na machenga yake yasiyo na mantiki.

Kuhusu vyombo tulivyokodi nahisi tuviache tu hapa store maana weekend si mbali. Huyu mgonjwa bado tia maji tia maji.
Hahahahaha. Mkuu mgonjwa ndiyo anaamka kitandani hivyo.
Huwezi amini
 
Nimekuja nakimbia uwiii nahemea juu juu tu!!!,huu umama kazi kweli embu nihadithieni nini kinaendelea mtaani huku nasikia tu Man United konk konk!!!!
Boss pole, hahhaha ukonk umetamalaki kwa MOUH... Ilipigwa comeback ya kihistoria... Na MOUH alivyojeuri akawapa ishara kuwa SIWASIKII as alikuwa anazomewa na mashabaki... Ronaldo nae anasahau UTD imemlea hadi kufika hapo alipo anatuoneshea 6 packs.... Yote kwa yote jana vijana wamejihakikishia kuvuka next level... Na iman kwa Young Boys kuna 3 points pale... Kaz ipo kwa Valencia walau wakaze sare then kilaini mtoano.
 
Ila huyu Mzee baba...ana mikwaraaa.
"Kimyaaaaa"
IMG_20181108_073041_717.jpeg
 
Kama hiviiiiiii....
Ila nataka kujua..mlirudi makwenu usiku ule ule auu?
Maana siyo namna mlivyojipanga na majembe ya kuchimba kaburi.
Nasikia kuna mgonjwa mwingine mahututi anaweza akaaga dunia wiki ijayo tukaona ni vyema kuunganisha msiba ili kupunguza gharama za kwenda na kurudi Haa ha, huyu mgonjwa nina uhakika lazima atafariki. Haiwezekani tuingie hasara ya maturubali na vyakula na majirani tumeshachangisha michango
 
Back
Top Bottom