OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Tulifunga goli moja tu.Mechi yenu na Derby ya Lampard mlifunga goli ngapi?
Tulifunga goli moja tu.Mechi yenu na Derby ya Lampard mlifunga goli ngapi?
Hapana hata tukifungwa manchester united sio sunderlandYani apo ndo mahali wanapokoseaga...
Haya mkuu sisi kimya kimyaNinatamani nyote mpite msijetusumbua kwenye futuhi. Huko tuleteeni Valencia, Ajax/Benfica et al.
Nyie najua hatua inayofuata hamfurukuti.
mara ya mwisho tumechezanae akaanza kufunga lakini sisi tulimaliza kwa kumfunga.Msije kifanya huo ujinga ukicheza na man city..
Yeye akianza kufunga anaendelea tu...
Deby walifunga zao mbili kisha wakawapa chelsea 2 kamoja akafunga sesc ipi mwende hatua inayofuata.Tulifunga goli moja tu.
Mpuuzi kabisa...Ronaldo tumekulea wenyewe unafunga unatuonyesha six packs? Nadhani umeipata pata.. The King of comebacks


bado unahitaji matokeo?Naombeni matokeo wakuu.
Sio hatua inayofuata ..yani tukabebe kabisa.Deby walifunga zao mbili kisha wakawapa chelsea 2 kamoja akafunga sesc ipi mwende hatua inayofuata.
Sari?????Sio hatua inayofuata ..yani tukabebe kabisa.
Enewei hongereni kwa ushindi wa leo. Mimi ningetaka mufike hadi robo fainali.
Hapana mkuu nimeyapata ..ni OG.!bado unahitaji matokeo?
Uwezo wake ndo ulipoishia pale.Rashford lile goli kakosaje jamani??..katengewa uzuri kabisa
Ndio ndio.Sari?????
Rashford lile goli kakosaje jamani??..katengewa uzuri kabisa
Lakini saivi wakianza kufunga huwa wanaendelea tu ..mara ya mwisho tumechezanae akaanza kufunga lakini sisi tulimaliza kwa kumfunga.
nipo hapa nawangalia sijui mtokeo yatakuwaje ila mchunge msije mkaj europa leage