Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hapa arsenal hakuchomoka

Leo ktk historia ndipo sir alex alianza kazi ya ukocha ndani ya manchester united

View attachment 923683
Man sizani kama mtakuja kupata kocha kama huyu.Yaani zile big match mnaingia na vikosi vyenu kichwani,lkn sasa hiyo first 11 yake anajaza watu usiowafikiria,kabisa alafu wanaupiga mwingi vibaya mno ,kama Park Ji SUNG atakosekana match zote lakn big match lazima acheze.Sasa yupo huyu Morinho naona kama anawaharibia timu ,nikimtazama Rushford roho inaniuma kwani ingekuwa enzi za Fergie dogo angekuwa mchezaji wa daraja la juu,babu alikuwa anajua kutusurprise.
 
Man sizani kama mtakuja kupata kocha kama huyu.Yaani zile big match manaingia na vikosi vyenu kichwani,lkn sasa hiyo first 11 yake anajaza watu usiowafikiria,kabisa ,alafu wanaupiga mwingi vibaya mno ,kama Park Ji SUNG atakosekana match zote lakn big match lazima acheze.Sasa yupo huyu Morinho naona kama anawaharibia timu ,nikimtazama Rushford roho inaniuma kwani ingekuwa enzi za Fergie dogo angekuwa mchezaji wa daraja la juu,babu alikuwa anajua kutusurprise.
Ji su park alikuwa mtaalam wa kutibua na kuweka vizuizi njiani. Mnapiga pasi zisizo na mwelekeo
 
Man sizani kama mtakuja kupata kocha kama huyu.Yaani zile big match manaingia na vikosi vyenu kichwani,lkn sasa hiyo first 11 yake anajaza watu usiowafikiria,kabisa ,alafu wanaupiga mwingi vibaya mno ,kama Park Ji SUNG atakosekana match zote lakn big match lazima acheze.Sasa yupo huyu Morinho naona kama anawaharibia timu ,nikimtazama Rushford roho inaniuma kwani ingekuwa enzi za Fergie dogo angekuwa mchezaji wa daraja la juu,babu alikuwa anajua kutusurprise.
maajabu hayo bado hujayaona kwa Mourinho kwani??
 
Bado na sifikiri kuja kuyaona,Morinho si mtu wa kuwaamini na kuwajengea confedence kama babu.Fergie mtu mwengine kabisa ,kipindi fulani alikuwa na sub yake hiyo Macheda, yeye kazi yake ilikuwa kufunga magoli ya ushindi dakika za mwisho.
 
United ya Sir kila mchezaji alijiona world class. Saiz Mou anafanya wachezaji wanaingia kwenye pitch wakiwa inferior hata dhidi ya timu ndogo.

Japo kuna game moja ya Barca tulichezewa mpira mpaka mzee akawa anatetemeka.
 
Barca ile ilikuwa sio mchezo..2010
 
Bado na sifikiri kuja kuyaona,Morinho si mtu wa kuwaamini na kuwajengea confedence kama babu.Fergie mtu mwengine kabisa ,kipindi fulani alikuwa na sub yake hiyo Macheda, yeye kazi yake ilikuwa kufunga magoli ya ushindi dakika za mwisho.
lakini alifeli chini ya Fergie na aliondoka ndani ya utawala wake
 
United ya Sir kila mchezaji alijiona world class. Saiz Mou anafanya wachezaji wanaingia kwenye pitch wakiwa inferior hata dhidi ya timu ndogo.

Japo kuna game moja ya Barca tulichezewa mpira mpaka mzee akawa anatetemeka.
ni kweli mkuu hata Lingard angekuwa enzi za babu tungekuwa tunaongea mengine saiz,, maana alianza na moto sana enzi za Moyes
 
Valencia akishinda game yake tutakuwa na presha sana leo.
Valencia kushinda hilo linaweza kutokea,Young boys wachovu tu..point ya msingi ni kwamba tujipange kumfunga valencia nyumbani kwao na tuombe juve amfunge valencia mechi ijayo..otherwise tunahitaji kushinda leo au kudraw ili kufanya mambo yasiwe magumu sana..
 
Cha msingi tufanye wajibu wetu, tuache kupigia ramli mechi za wenzetu
 
Back
Top Bottom