Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ukitaka kuamini umuhimu wa Lukaku angalia tangu anko Fella aingie mabeki wa Juve wanapata kash kash
 
Naombeni matokeo wakuu.
Naomba kabla haujapewa matokeo tukae kwanza kikao tuone tunawezaje kumfariji ndugu yetu Mentor

Huyu bwana jana alilipia maturubali,vyombo,mchele,maharage,nyama,kabichi pamoja na waliaji wa kukodi kutoka ile nyumba inayoomboleza msiba wa J4. Sasa sijui atarudisha vipi gharama zake.

Pole sana mkuu Mentor ila najua unafurahi kuona lile goli la Juan.
 
Back
Top Bottom