Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Nasikia jamaa ndo alikua mtu pekee aliyekuwa anaweza kumchallenge Jose kuhusu kikos au mbinu za mchezo husika na Jose akamsikiliza,,,,,pia jamaa alikua vzr tactically,,, wapo pamoja tokea fc Porto, Chelsea, inter,,Madrid,, Chelsea, man u,then jamaa akaomba kukaa pembeni,,
Walikuwa wote kabla ya FC Porto, inaonekana jamaa ndo ilikuwa Think Tank ya Mou.
Ila leo Man Utd kapiga kazi.