severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Vipi huko Martial bado hajaletabimpact? Mana huku keshaleta na mpira umekwishaNaona Mou kaamua kujilipua..mchezaji kama Martial hana impact yoyote anaanzaje kwenye mechi muhimu kama hii??? Leo disaster tena.
