Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Tukana tu asee sio Mods tu hata Sir God nadhani atatuelewaHivi nikimtukana mou hapa nitapigwa ban?

Tukana tu asee sio Mods tu hata Sir God nadhani atatuelewaHivi nikimtukana mou hapa nitapigwa ban?

Mi ningekua Jose kuepuka kuchafuliwa CV ningepiga chini tu ,,,sasa hapa inaonekana timu zote alizofundisha anafukuzwa isipokua Porto na inter
Nasikia jamaa ndo alikua mtu pekee aliyekuwa anaweza kumchallenge Jose kuhusu kikos au mbinu za mchezo husika na Jose akamsikiliza,,,,,pia jamaa alikua vzr tactically,,, wapo pamoja tokea fc Porto, Chelsea, inter,,Madrid,, Chelsea, man u,then jamaa akaomba kukaa pembeni,,Hahaha, kaondoka na mbinu za ushindi au?
Mkuu uwe unaangalia angalia mpira. USIKURUPUKE, HUO NI WIVU WA KIKE KWA MCHEZAJI BORA.Kila Mara nawambiaga humu Pogba ndio tatizo pale United fukuza kabisa weka Pereira au Herrera
Man u inanitoa chozi kwa Mara ya kwanza
Rui faria alisoma mchezo mapema akaamua kukaa pembeni,,,,,,
NaamuHatukondi mkuu,tunayataka sana haya matokeo,pitia michango yetu utajua ni raha gani tuko nayo.
Yaa,niliwahi kusikia hivyo ,na sasa naanza kuamini,,Walisema Rui ndiye alikuwa mtaalam, Mourinho alichukuwa credits za bure. Labda kuna ukweli.




watu wanataka half time mou apewe barua huko dressing roomSikumbuki kama niliwahi kuwa na imani na Lukaku mkuu,sio aina ya wafungaji ninaowakubali.





Nyie arsenal yaani hata tukiwa wabovu hamuwezi kutufungaRatiba haiko fair yan wanataka had morinyo afukuzwe ndo wengine tucheze nae![]()
Mkuu usijali..Lukaku leo katembea sana na mpira. Kuna dogo kule winga ya kushoto kagusa mpira mara tatu, hajapiga krosi hata moja. Baki aliye nyuma yake Shaw kapiga kross 3.Sikumbuki kama niliwahi kuwa na imani na Lukaku mkuu,sio aina ya wafungaji ninaowakubali.

Ngoja nikusaidie...ila leo tu. Huo ni ubunifu wako. Ila leo tu.MB zimepanda bei
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
GGMU
Ratiba haiko fair yan wanataka had morinyo afukuzwe ndo wengine tucheze nae![]()