Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
Lets support our manager.... And our team!!
Mchawi tunamjua mkuu ila humu tunataka tu kocha aje angalia goli mbili za mwanzo bek walivyoppteana halaf unataka kocha asepeNa uwanjani walikuwa wanamsapot mou
Wewe nakutafuta nikupe zawadi yakoAsante mtani japo kiroho kinakuuma hahahhaha!!
Kwani kuna mtu anataka aondoke?Vyenye soka lilivyo la ajabu na mashabiki tulivyo. Lazima utasikia wale wale waliokua wanatukana Mou msenge mou fala mou aondoke saizi kwakuwa kashinda mtasema abaki
Acha kimoja either bange au hizo dawa unazotumia.FT: Man U 2 vs Newcastle 2![]()
Leo martial alikuwa na mchezo mzur sana
Wewe upo bongo huku unaangaika na JoseMimi ndio yule Mtanzania ambae nimetukanwa vya kutosha humu ndani kuhusu Mou.
Ninawakumbusha mambo ambayo niliyapigia kelele na sasaa yametokea kweli ;Nilisema kuwa,
1) chini ya mou kila mchezaji ataonekana mbovu. Leo umefikia mpaka Pogba anaonekana galasa. Mata garasa, lukaku garasa, Herrera garasa, erick baily garasa, Sanchez, rashford, young , etc
2) Nilisema chini ya Mou hakuna lolote la maana kuanzia mafanikio ya uwanjani na nje ya uwanja. Tangu tulipoanza hii debate hakuna kikombe cha maana tunaweza kusimama na team yoyote kukigombea. Hivi tunavyozungumza hapa tayari tumeshafurumushwa na Derby County kwenye Carabao Cup.
3. Mwisho Kabisa nilisema huyo Mmakonde "Mou" atamaliza failures zake kwa wachezaji Wetu. Leo Pogba ndio amekuwa muhanga Wa upuuzi Wa huyu kocha. Kibaya zaidi kuna mashabiki wameshaingia mtego Wa huyu kocha.
nB: Mods nawaomba mfufue comments zangu kuhusu Mou ili tuanze kuheshimiana humu ndani.
All In All bye Bye ewe Mmakonde "Mou" mwana-mjaa laana ambae umetukosesha amani.
Ngoja utaona miujiza hiyo siku!!Sasa tumsubiri hazard, willian, Pedro watakavyowavuruga mabeki wa man united
man u sio ya mchezo mchezo linapokuja swala la 'big mechi' tujipe muda..Sasa tumsubiri hazard, willian, Pedro watakavyowavuruga mabeki wa man united
Kweli tutaiona miujiza ngoja tusubiriNgoja utaona miujiza hiyo siku!!
Tusubiri labda basi linaweza kuwasaidia siku hiyoman u sio ya mchezo mchezo linapokuja swala la 'big mechi' tujipe muda..
Gem kubwa na plan zakeSasa tumsubiri hazard, willian, Pedro watakavyowavuruga mabeki wa man united
Mashabik wa jamii forum hapa tz lakin wale wanaolipa tiket kule hata mmoja hajabeba bango la kumfukuza kocha ndo kwanza wanamchoma edKwani kuna mtu anataka aondoke?
Mi ningekua Jose kuepuka kuchafuliwa CV ningepiga chini tu ,,,sasa hapa inaonekana timu zote alizofundisha anafukuzwa isipokua Porto na inter
Plan za mourinho ni kupaki mabasi tuGem kubwa na plan zake
Martial daaa leo kaupiga sana aanzie hapa sasa