everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,037
Pamoja tuko na huzuni ila nimecheka sana Mou kukimbia!! Dahhh hivi nn kimemsababisha kukimbia?[emoji849]View attachment 888861
Pamoja tuko na huzuni ila nimecheka sana Mou kukimbia!! Dahhh hivi nn kimemsababisha kukimbia?[emoji849]View attachment 888861
Incredible comeback..Martiaaaaalll[emoji52][emoji52]
Atleast !! Dahh!! Liingie lingine basi!! Hata tutoke na point 3
Karibu tena mtani habari za masiku mingi,dahh ulikimbia jukwaa kabisa!!!Especially against the mighty Newcastle United
Naona leo hajakuchefua huyu MartialIncredible comeback..Martiaaaaalll[emoji52][emoji52]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] umetoka ndani sasaAtleast !! Dahh!! Liingie lingine basi!! Hata tutoke na point 3
Karibu tena mtani habari za masiku mingi,dahh ulikimbia jukwaa kabisa!!!
Hahahha kwani nilikuwa nimejifungia? Mimi nipo tu. Siku moja moja kama hizi nikifanikiwa kuona mechi najiunga humu.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] umetoka ndani sasa
Yaani am so happy!!! Dahhh!!SamcheeeeeeezzzzzzzZ 3-2
timu haijengwi na watoto pekee, labda kama lengo ni kua kama arsenal,Perisic,Toby,Jerome boateng,Mickh,Sanchez.....wakuu hawa wote wana 28+ alafu mtu anasema tunajenga timu hahahahahahahahaha