Mourinho anafanya kusudi nahisi anataka kuweka record katika kitabu cha guiness akiwa kama kocha aliegombana na wachezaji katika kila timu aliyofundisha. Tusimlaumu sana inawezekana ndio malengo yake katika career yaje ya ukocha
Kwa hili nazani itakua mwisho sizani kama atapewa team akishatoka apo cv ishaharibika
 
Mnaomtetea Pogba siwaelewi kabisa

Tatizo mpo desperate kumtoa Jose kiasi cha kwamba upumbavu wa Pogba hamuuoni

Pogba ni mpuuzi kama wapuuzi wengine

He is talented, YES

But he's f*ck**g selfish and individualist

Pogba ni nani kumkosoa Meneja na kocha wake hadharani? Hii inamaana gani kwa Wachezaji wengine kwenye kumuheshimu Mou?

Pogba huyu huyu ameshindwa kukana kwamba anataka kwenda Barcelona, badala yake anasema hawezi kujibu kwani akijibu atapigwa fine

Mourinho kajishusha amempa u captain msaidizi bado haeshimu kitambaa cha unahodha wala haeshimu badge ya United

Pogba ni mpuuzi kama wakala wake Raiola, kumbuka Fergie kawahi kusema kuna mawakala kama 2 ambao hawapendi mmojawapo ni Raiola. Kumbuka alitaka kumpeleka Pogba City January (Guardiola alitoboa siri) na kama wakala alitaka kufanya hivyo, inamaana walishaongea na Pogba na aliridhia.

Na kwenda city kutoka united ni sawa na kumkana baba mzazi na kumfuata mwanaume aliyempora mama kutoka kwa baba kisa hela.

Pogba auzwe. Mou apewe hela anunue beki wa kati na winger then tumuhukumu asipo deliver

Hata style ya kucheza Mou kasema hawezi kushambulia sana kama Liver au City kutokana na aina ya mabeki alio nao (tunajua hatuna beki wa maana hasa wa kati). Apewe hela anunue mtu anayemtaka kama Guardiola na Klop then tumuhukumu kama akizingua
Mtazamo wa Fergie kuhusu Pogba na Raiola
Screenshot_2018-09-28-15-13-21.jpg
Screenshot_2018-09-28-15-27-48.jpg
 
Mourinho amesema wametafakari yeye na coaching staff wake na kugundua kuwa "Pogba ni mchezaji mzuri lakini sio captain mzuri"
 
Coach maneno meng tu anatukosesha raha mashabiki/wapenzi wa man utd. Kiukweli tukubaliane hana mbinu kaishiwa mbinu hana jipya katika football kwa sasa
 
Unanitajia takataka martial we vipi mchezaj mzur anajulikana tu hata kocha awe mpuuzi kachukuliwa dembele aliekuwa majeruhi kwenda kombe la dunia na kacheza mech tatu tu barcelona unakuja kuandika pumba zako
Mkuu Leo ndo nimeamini hujui mpira kabisa wewe wa kusoma martial takataka??? hahahahah
Radika umejikaza kabisa na kusema martial ni taka taka? Kweli sasa sishangai ukisema mou abaki Tanayzer umenena Kwa akili
 
Manchester united inahitaji wachezaji wapambanaji wafia timu kama ander herrera na de gea wao haijalishi wapo kwenye mazingira yapi wanapiga kazi na hakuna cha lopolopo
Nashangaa walimpaje Valencia unahodha.
Unahodha ungemfaa sana Herrera maana anaongea na anapambana sana anapokuwa uwanjani.
 
Mods wasipoufuta huu uzi ipo siku zitachapwa kavukavu.


Mashabiki Wa United kama Mou asipofukuzwa ndani ya msimu huu kwa stress hizi Milembe itajaa mno.
Dawa sio kufukuza kocha ni kupata wapambanaji wafia timu angalia herrera alivyomtiifu kwa timu washapita makocha wawili hamna mabadiliko timu haina players kama vile wayne rooney na scholes mtu anapoteza mpira kukaba hana ubavu kisha anamponda kocha
 
Nashangaa walimpaje Valencia unahodha.
Unahodha ungemfaa sana Herrera maana anaongea na anapambana sana anapokuwa uwanjani.
Point hii mkuu kidogo herrera roho yake naiona kama rooney mtiifu mno si mtu wa media huwa anakubali kucheza popote ili mradi kapewa majukum na kocha
 
Hapa ndo anachemka ila binafs huwa napenda akicheza namba 8 huwa mzur sana tunashindwa kumtumia na kupata wachezaji ambao sio sahihi kiungo cha ukabaji kiasi kwamba herrera anabadilishwa kuwa mkabaji nilikuwa na matamani sana na morgan lakin haikuwa hivyo.
Mou anamtandika bench tu.
 
Hapa ndo anachemka ila binafs huwa napenda akicheza namba 8 huwa mzur sana tunashindwa kumtumia na kupata wachezaji ambao sio sahihi kiungo cha ukabaji kiasi kwamba herrera anabadilishwa kuwa mkabaji nilikuwa na matamani sana na morgan lakin haikuwa hivyo.
Ndio maana mtu akisema United ina wachezaji wakawaida huwa sielewi kabisa.
 
Back
Top Bottom