Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

This season has not been kind to Lukaku and Rashford.

IMG_20180929_133645.jpg
 
Hii formation ya Man utd ya leo ndiyo inaitwaje kwa mfano!??
 
Hii formation ya Man utd ya leo ndiyo inaitwaje kwa mfano!??
Huenda ikawa ni 4-4-2 Pogba ni free kuzurua maana ndo anachopenda...nafikiri pia kaweka midfield wengi ili waweze kuzuia mashumbulizi maana naona apo LW na RW ndo winga wake kwa leo.
 
Hataree!! Dk hz jamaa wanatupa presha kweli. Hatuwezi kukaba km kawaida yetu!!
 
Back
Top Bottom