Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu ya wahuni mwaka huu zamu yenu kutaabika...siku hizi mtaan pametuliaaaaa baridi barafu. Mtapata tabu sana walahi
 
Kocha alikuwa sahihi na hana complex infiriority yupo mchezoni muda mrefu kufungwa si jambo geni View attachment 879640
Kwa taarifa yenu sasa niwaambie kuna taarifa very reliable kutoka carrington park kua sio tu pogba ambaye yupo tofauti na mourihno Bali ni wachezaji wengi tu mpaka imefikia wengine wamegoma kusign contract extension mpaka mourihno achomolewe pale!

most of players in utd squad do not like mourihno either by his style of play (kupark bus) or his behaviors.
 
Niliwahi kutabiri humu kama wewe ni active fan Wa Uzi huu tafuta comments zangu zote,

Nilisema Man united haiwezi fua dafu chini ya Mou na chini ya huyo kocha wachezaji wataharibiwa viwango

Top on that nilisema chini ya Mou Kila mchezaji ataonekana mbovu. Naona utabiri wangu unazidi kuwa sahihi.
Naona mou anaacha trail ya kuangamiza kitu fulani au jambo fulani.
Mou kiburi kinamponza na ile old glory aliyojijengea. Ukiangalia timu alizopita kuondoka kwake kulichangiwa na yeye mwenyewe kugombana na wachezaji.

Ukigombana na wachezaji, lazima wakususe.
 
Kwa taarifa yenu sasa niwaambie kuna taarifa very reliable kutoka carrington park kua sio tu pogba ambaye yupo tofauti na mourihno Bali ni wachezaji wengi tu mpaka imefikia wengine wamegoma kusign contract extension mpaka mourihno achomolewe pale!

most of players in utd squad do not like mourihno either by his style of play (kupark bus) or his behaviors.
Na hao wachezaji sio top player ambao wengi wapo toka enz za moyes hawastahili hata kuvaa jezi ya timu
 
kitu ambacho unashindwa kuelewa ni kua management ya utd haiwezi kamwe kuuza wachezaji 10 au 15 simply kwa sababu ya ukorofi wa MTU mmoja mourihno! Tambua Utd ni club kubwa dunia na haipo tayari kupoteza heshima iliyonayo.kwa sababu ya mourihno.period

kumbuka wachezaji ni assets! huwezi kuuza ovyoovyo tu.
Madrid walifanyaga maamuzi sahihi ya kumtimua kabla hali haijawa mbaya!

However Chelsea did the same!
 
Sasa wachezaji kumi wote mikataba yao inaisha?

Hivi unafahamu kama moyes na van gal waliwahi kulalamika upande wa usajili haupo vizur ndani ya manchester united jambo ambalo mourinho limemkuta?

Makocha wangap wamepita pale hadi umnyooshe kidole mourinho kwamba hayupo sawa na wale nakocha waliopita? Huna 4,5,6,7,9 unataka umpe timu zizou aliekuwa na ramos,varane,bale,isco,ronaldo,marcelo na dany carvajal hao kwa uchache unajitaka?

Ukiacha pogba mchezaj wa gharama ni de gea anaefuata hapo pamekaaje?
 
Mourinho kufukuzwa sikatai alifukuzwa akiwa na wachezaj wa maana hata mtu wa nje huwez kuchonga sasa hapa unamfukuza na wakina phil jones???

Toka moyes hadi huyu alietaka wachezaj kamili wenye namba zao hajapata mwisho wa siku tunasajili kipa wa stoke city hata penat moja kashindwa kuipalaza tu hata mpira uingie golini penat zote 8 hamna hata aliogusa
 
Ila huyu mchezaji na yeye anapaswa aonyeshwe njia. Kwa tabia zake ataendelea kusumbua hata kocha mwingine

Ana uwezo mdogo? Zidane aliifunga Barca Nou Camp Neymar na Messi wakiwemo,wakati huo kila mtu wa soka amekiri kuwa Barca imeanzisha ufalme mpya kwenye soka
 
Sasa wachezaji kumi wote mikataba yao inaisha?

Hivi unafahamu kama moyes na van gal waliwahi kulalamika upande wa usajili haupo vizur ndani ya manchester united jambo ambalo mourinho limemkuta?

Makocha wangap wamepita pale hadi umnyooshe kidole mourinho kwamba hayupo sawa na wale nakocha waliopita? Huna 4,5,6,7,9 unataka umpe timu zizou aliekuwa na ramos,varane,bale,isco,ronaldo,marcelo na dany carvajal hao kwa uchache unajitaka?

Ukiacha pogba mchezaj wa gharama ni de gea anaefuata hapo pamekaaje?
sijui nini kinakutoa ufahamu ina maana wewe umesahau kua martial alitofautiana na huyo mourihno wako during pre season kwa kutoreport kwenye tour?na sababu inajulikana!

umeasahau mourihno kumchukia Luke shaw with no reason?

Juzi tu amemuattack openily Phil Jones for missing a penelty?

mourihno amekua na proplems with players everywhere! au unajisauliza bifu lake na hazard? kwahiyo lile bifu lake na hazard pale Chelsea ulitaka Hazard auzwe alafu mourihno abaki?

Mourihno hafai utd kwa ustawi bora wa man utd! period
 
social media are very personal issue !! na yeye Pogba akiuliza kuna.connection gani video yake kuirusha kwenye Instagram na utd kupoteza mechi ! utamjibu nini?

Hizo zote ni inferiority complex za mourihno!
Mkuu nimependa hill swali la post ya Instagram inavyohusiana na kipigo hahahaha mtu mzima anatapatapa eti "do you see the opposition manager that is my former captain frank lampard" nani amemuuliza hahahahahaja
 
Mourinho anafanya kusudi nahisi anataka kuweka record katika kitabu cha guiness akiwa kama kocha aliegombana na wachezaji katika kila timu aliyofundisha. Tusimlaumu sana inawezekana ndio malengo yake katika career yaje ya ukocha
 
Kwa taarifa yenu sasa niwaambie kuna taarifa very reliable kutoka carrington park kua sio tu pogba ambaye yupo tofauti na mourihno Bali ni wachezaji wengi tu mpaka imefikia wengine wamegoma kusign contract extension mpaka mourihno achomolewe pale!

most of players in utd squad do not like mourihno either by his style of play (kupark bus) or his behaviors.
Kuna taarifa pia kwamba wachezaji wanao ongea kifaransa wapo upande wa Pogba. Pogba,Martial na Erick Bailly. Luke Shaw naye hapendezwi na mambo anayofanya Mou. Lukaku yeye yupo 50/50. Ingawa anaonekana kuegemea upande wa pogba. Kwa jinsi Mou alivyomtendea Mata tangu akiwa Chelsea, Mata yupo upande wa Pogba.
 
Mou alikosana na Hazard, najiuliza ingekua vipi Chelsea wangemuuza Hazard kisa Mou.

Mou ameshaishindwa United,amebaki kusingizia tu.
Msimu wa tatu huu timu inapigapiga tu mpira hamna muunganiko.
Wachezaji mazoezini sura zao zinaonesha kabisa hawana uhusiano na kocha.
Unakumbuka hazard alikuwa amezinguana nae akawa anacheza ovyo sana..na kuna mechi alitolewa kipindi cha kwanza mapema kabisa..sasa mwangalie hazard baada ya mourinho kusepa

Mourinho OUT..
 
Unanitajia takataka martial we vipi mchezaj mzur anajulikana tu hata kocha awe mpuuzi kachukuliwa dembele aliekuwa majeruhi kwenda kombe la dunia na kacheza mech tatu tu barcelona unakuja kuandika pumba zako
sijui nini kinakutoa ufahamu ina maana wewe umesahau kua martial alitofautiana na huyo mourihno wako during pre season kwa kutoreport kwenye tour?na sababu inajulikana!

umeasahau mourihno kumchukia Luke shaw with no reason?

Juzi tu amemuattack openily Phil Jones for missing a penelty?

mourihno amekua na proplems with players everywhere! au unajisauliza bifu lake na hazard? kwahiyo lile bifu lake na hazard pale Chelsea ulitaka Hazard auzwe alafu mourihno abaki?

Mourihno hafai utd kwa ustawi bora wa man utd! period
 
Kuna taarifa pia kwamba wachezaji wanao ongea kifaransa wapo upande wa Pogba. Pogba,Martial na Erick Bailly. Luke Shaw naye hapendezwi na mambo anayofanya Mou. Lukaku yeye yupo 50/50. Ingawa anaonekana kuegemea upande wa pogba. Kwa jinsi Mou alivyomtendea Mata tangu akiwa Chelsea, Mata yupo upande wa Pogba.
hizo taarifa ni za kupikwa na ni wishful thinking za wangu!
Uingereza yote hii hakuna mjinga anaeweza kusema pumba zako hizo
 
Mistari yako minne ya mwisho si kweli. Vipi Liverpool na Man City mbona timu zao makocha wao wapya msimu Wa kwanza tu timu zilionyesha wazi kubadilika kiuchezaji? Au wachezaji wao wanaelewa haraka kuliko wetu? Mourinho siyo kocha mzuri.
Roberto Mancini,Manuel Pellegrini & Pep Guardiola have the same philosophy (Pep version yake ni more advanced kidogo but almost the same na mabadiliko aliyofanya majority ni defence) kabla Pep hajatua England,Man City ya Mancini iliifunga Man United ya Feguson 6-1.

Moyes alishindwa kuwatumia wachezaji ambao SAF alichukua nao ubingwa (Rooney,RVP,Rafael,Hernandez et all),Kuhusu Liverpool wamebadilika sana na wenye timu wameamua kumpa support (time & money ) baada ya kuona progress miaka ya nyuma wale owner wasingeweza kuvunja rekodi ya kununua kipa & beki ghali ndani ya mwaka mmoja na huu ni msimu wa 4 wa Klopp now progress inaonekana
 
sijui nini kinakutoa ufahamu ina maana wewe umesahau kua martial alitofautiana na huyo mourihno wako during pre season kwa kutoreport kwenye tour?na sababu inajulikana!

umeasahau mourihno kumchukia Luke shaw with no reason?

Juzi tu amemuattack openily Phil Jones for missing a penelty?

mourihno amekua na proplems with players everywhere! au unajisauliza bifu lake na hazard? kwahiyo lile bifu lake na hazard pale Chelsea ulitaka Hazard auzwe alafu mourihno abaki?

Mourihno hafai utd kwa ustawi bora wa man utd! period
Na huu ndio udhaifu wake siku zote.
na hataki kukiri kuwa ana kiburi. Wachezaji ndio wanaocheza uwanjani, si kocha. Anatakiwa ajue asipo kuwa na mahusiani mazuri hata uwanjan watu watagoma kucheza vizuri.

Huko kote alikotoka alikuwa na bifu na wale wachezaji top players wa timu tofauti tofauti.
Ww unadhani mambo yatakuwaje mbelen, united haiwez kuvumilia uwozo.. lazima aende.
 
Back
Top Bottom