Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unakumbuka hazard alikuwa amezinguana nae akawa anacheza ovyo sana..na kuna mechi alitolewa kipindi cha kwanza mapema kabisa..sasa mwangalie hazard baada ya mourinho kusepa

Mourinho OUT..
hazard huyu huyu atamuondoa Sarri kama alivofanya kwa Mou, na Conte ni matter ya mda tu! tukiruhusu Pogba adominate club basi tumeumia!
 
Kuna taarifa pia kwamba wachezaji wanao ongea kifaransa wapo upande wa Pogba. Pogba,Martial na Erick Bailly. Luke Shaw naye hapendezwi na mambo anayofanya Mou. Lukaku yeye yupo 50/50. Ingawa anaonekana kuegemea upande wa pogba. Kwa jinsi Mou alivyomtendea Mata tangu akiwa Chelsea, Mata yupo upande wa Pogba.
Hizo taarifa umezipata wapi mkuu? Mou ni shiida ila Po halina akili nalo
 
Unanitajia takataka martial we vipi mchezaj mzur anajulikana tu hata kocha awe mpuuzi kachukuliwa dembele aliekuwa majeruhi kwenda kombe la dunia na kacheza mech tatu tu barcelona unakuja kuandika pumba zako
we ngoja nikuache naona unanipotezea muda! nyinyi ndio wale fan maandazi! ujui ulisemalo unaropoka hata team yako uijui!
 
Wakuu hapa ninachokiona Mou ameweza kuharibu psychology ya mashabiki wengi kuhisi anaonewa labda...hii alianza kwenye usajili hadi mashabiki tukakosana sana na Ed sasa now anatuaminisha matokeo mabaya yanachangiwa na Pogba hahahahahah .....shikamoo Mou
 
Mkuu Leo ndo nimeamini hujui mpira kabisa wewe wa kusoma martial takataka??? hahahahah
Sasa si kila mmoja anavyoona hivi mitazamo inafanana kweli? Basi kungekuwa mashabik wa pamoja wa mess na ronaldo mana kuna wanaomwona mess takataka au hujui?
 
Mkuu yan hii ni Mou effects bado.... mzee ameishatugawa hadi fans
Hahahaha hapa nimecheka sana hilo ni kweli hata bodi haijui ifanye nini unajua aliwawahi kwenye media kwamba kashindwa kupewa maombi yake bila hivyo angechinjwa
 
Kuna taarifa pia kwamba wachezaji wanao ongea kifaransa wapo upande wa Pogba. Pogba,Martial na Erick Bailly. Luke Shaw naye hapendezwi na mambo anayofanya Mou. Lukaku yeye yupo 50/50. Ingawa anaonekana kuegemea upande wa pogba. Kwa jinsi Mou alivyomtendea Mata tangu akiwa Chelsea, Mata yupo upande wa Pogba.
Nimesikia Mou amesema ile penalty aliyokosa Jones angekuwa Toby angeipata.😀😀Huyu mzee ni chizi.
Hivi kwa kauli hizi tutegemee wachezaji kucheza kwa moyo wote?
 
Back
Top Bottom