Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nashindwa kujua kwanini management inaacha hili suala litawale kwa kipindi kirefu hivi bila kuingilia kati mapema,au wamegeuka kama wanasiasa wa bongo kuwa ni upepo tu na utapita
Ndio maana nakwambia tatizo ni kubwa (fans tuko desperate) but wenye timu (Glazers) wametulia wako comfotable as long club inazidi kuingiza fedha mara dufu kama wasipo-adress haya matatizo United will fall apart taratibu wakija kushtuka its too late
 
Yote haya anayafanya ili aonekane kuwa hakukosea kufanya usajili wa pogba uliovunja rekodi ya uhamisho,sasa tujiulize,je, anatengeneza timu ya manchester united au pogba football club kwa privilege zote anazompatia?
Watu wengi walikuwa wanamlalamikia kuwa hajui kumtumia Pogba.
Na amefanya makusudi kuwaprove wrong wanaombeza.
Pogba anabahatisha lakini kibaya makosa mengi anayofanya huwa yanaigharimu team
 
Yote haya anayafanya ili aonekane kuwa hakukosea kufanya usajili wa pogba uliovunja rekodi ya uhamisho,sasa tujiulize,je, anatengeneza timu ya manchester united au pogba football club kwa privilege zote anazompatia?
Kumponda kocha hadharani pogba anafanya uhaini tena wazi wazi angekuwa chini ya Ferguson wala asingedumu angekuwa alishatolewa siku nyingi tu
 
Jose ndiyo kocha mwenye makombe mengi zaidi EPL unataka approve kingine.?
Yawezekana uwezo wake umefikia mwisho. Pamoja na hayo kwani Chelsea wametimuana Mara ngapi? Na kumbuka yeye ndiye aliyewapa taji la ligi baada ya miaka 40 kama sikosei, Je, Hawajui hilo?
 
Yawezekana uwezo wake umefikia mwisho. Pamoja na hayo kwani Chelsea wametimuana Mara ngapi? Na kumbuka yeye ndiye aliyewapa taji la ligi baada ya miaka 40 kama sikosei, Je, Hawajui hilo?
Kulikuwa na wahaini wengi tu pale Chelsea kama ambavyo anafanya Pogba .

Huu ni uhaini ambao suluhisho ni kumwondoa tu
 
Maandazi mama yako msenge wewe unakuja na pumba zako hapa et ustawi wa timu toka alipostaafu sir alex umeona timu ikibadilika? Badala ya kuizingua bodi inayofanya mambo ya kipuuzi unaniambia habar za kocha wao wanatakiwa wakae chini na kufikiria falsafa ya timu kama barcelona na arsenal walivyofanya sasa wao wanaajir tu hovyo hovyo halafu unategema mpira wa mourinho ubadilike uwe wa sir alex we si mpuuzi
Acha kutukana humu
 
ila inauma sana mkuu, yaani tunaona kabisa jahazi la timu yetu linazama hivi hivi..
Yeah team lazima ipoteane league ya uingereza siyo nyepesi kama wansvyodhani.

Uwekezaji umeongezeka sana kwa vilabu vingi sana kiasi kwamba ni ngumu kutofautisha team ndogo na kubwa.

Man u inahitaji kufanya program ya miaka mitatu bila ndoto za ubingwa chini ya mwalimu mpya tena kwa kusajili wachezaji vijana watakaodumu muda mrefu kikosi wakichanganywa na wazee wachache team itaanza kumove on.

Project ya kina
Martial, lingard , Herrera , depay, Luke shaw, Rashford, Timothy fosu mensah, james Wilson, Darmian , shinendalin , Januzaj na kina Wilfred Zaha ingezaa matunda kama tungeweza kuvumilia kidogo.
Lakini nayo imeshafeli sasa Mourinho kakusanya watu ambao hawana cha kupoteza tena.
 
Mou amechemka kwa maana nyingine
ukiona umeshindwa kuwaonya watt wako ndan na kuwapa adhabu linapotokea kosa ukakaa kwenye media na kuwaponda bac umekosa busara na pia iko cku na wao watatoka na kusema kile wanacho amin
po yuko sahii tu maana hich ndicho alichokipanda mou na hayo ndo mavuno yake
 
KAMA LIGI KUU YA UINGEREZA INGEKUWA DARASA LA SHULE YA SEKONDARI.

1.Liverpool ni mwanafunzi anejisifia na kuona ana akili kwa kuwa babu yake alifaulu kwa division one japo yeye anapata zero.

2.Manchester city ni mwanafunzi wa kishua ambae wazazi wake wanamnunulia vitabu vingi na vya gharama lakini ni mvivu wa kusoma hii inamfanya afaulu mitihani ya ndani lakini nje ya shule ana fail.

3.Arsenal ni dogo maskini mtulivu darasani anaesongoka sana na huwa anabahatisha kuwa wa kwanza kwenye mitihan ya mid term ila mtihani wa taifa anafeli.

4.Tothenham ni dogo anaefaulu somo moja tu mara nyingi huwa anapishana maksi chache na arsenal.

5.Chelsea ni mwanafunzi wa kishua ila mtemi wa darasa zima haswa kwa wanaoongoza darasani ambae akifeli tu anamlaumu ticha wake mpaka afukuzwe.

6.Everton ni dogo mcharuko na mjanja mjanja anae soma kipindi cha mtihani tu kwa ku paniki.

7.Manchester united ni dogo mwenye akili za kawaida ila muongo muongo anaetegemea chabo na kuiba mitihan tatizo anaemfanya aibe mitihani kesha staafu ndo mana now anapiga F kila pepa japo kanunuliwa vitabu vipya vilivyo nje ya
silabasi.🤪🤪🤪🤪
 
√Martial ni potential kwa timu yetu.. ndo maana watu wenye akili kama ed woordward wanamshawishi aongeze mkataba

√Mourinho ni lazima atuachie timu yetu asizidi kuhiaribu..

√Sanchez katoka kufunga magoli 24 arsenal leo hii anacheza kama mchezaji wa daraja la tatu..

√Ni bora ugombane na mchezaji huku uwanjani ukiwa unaifanya timu ionekana kama timu kweli..hili huyu mreno kafeli,uwanjani na nje ya uwanja..Kuna haja gani ya yeye kuendelea kuwepo OT??

√Westham weekend hii sijui litakalotokea..ila amini usiamini,kwa mwendo huu top 4 tushaikosa
Martial kwa sasa amekwisha...bora morinho amuuze
 
Angalia umri wa Sanchez
 
Back
Top Bottom