Nimetafakari sana hili la Pogba,Tunaanza na mtu mmoja mmoja club haiwezi poteza assets mbili.....tumtoe kwanza Mou kafara tuone uelekeo wa Pogba upoje...tunaweza sema Pogba tatizo kumbe Mou ndo amafanya jamaa acheze chini ya kiwango
Mistari yako minne ya mwisho si kweli. Vipi Liverpool na Man City mbona timu zao makocha wao wapya msimu Wa kwanza tu timu zilionyesha wazi kubadilika kiuchezaji? Au wachezaji wao wanaelewa haraka kuliko wetu? Mourinho siyo kocha mzuri.Lazima management ikubali SAF ambaye alitengeneza profile ya hii timu hayupo tena so team inahitaji kuanza upya.Kwanza kuchagua kutafuta temporary manager(LVG,Mourinho) kuirudisha timu kugombania ubingwa ndani ya muda mfupi (ambayo imeshafeli) au kutafuta young long term manager give him money & time (ndio the better option so far)
Pia United inahitaji Director of Football/Sporting Director atakayekuwa ana-link between CEO & Manager na hii itasaidia ku-punguza matatizo yaliyopo kwenye mfumo wa club,Klabu kama Bayern,Juventus,Dortmund,Man City,Liverpool,PSG,Barca wote wanatumia mfumo huo.So far timu ina wachezaji waliosajiliwa na makocha 4 (SAF,Moyes,LVG,Mourinho) na wote falsafa zao ni tofauti ndio maana akija kocha mpya anapata taabu kufanya kazi na wachezaji aliowakuta
Pep ka overhaul karibia kikosi chote cha mta gulizi wake.Mistari yako minne ya mwisho si kweli. Vipi Liverpool na Man City mbona timu zao makocha wao wapya msimu Wa kwanza tu timu zilionyesha wazi kubadilika kiuchezaji? Au wachezaji wao wanaelewa haraka kuliko wetu? Mourinho siyo kocha mzuri.
Siwezi mlaumu Ed Woodward kwa sababu alikuwa na expectation kubwa toka kwa huyu Mwalimu kama tulivyokuwa na expectations kubwa baadhi yetu. Kwenye uhalisia ameshindwa na hatuwezi acha mlaumu au Man U kumfukuza eti sababu walimuajiri.May be uko sawa but unapaswa kumlaumu Woodward kwa nini alimpa Mourinho kazi ya kufundisha United
Mama yako ndio ana uweza mchezo na kuushabikia kiusahihiYou're shallow minded fvking Fan,
Ngoja nikwambieni kitu ingawa hakuna player ambaye ni bigger than a team! but also there is no a manager or a coach bigger than a football club too.Nimetafakari sana hili la Pogba,
Na Mou
Pogba ana makosa makubwa sana kwenye hili .
Nitaandika baadae
Sir Alex Ferguson v Roy KeaneNgoja nikwambieni kitu ingawa hakuna player ambaye ni bigger than a team! but also there is no a manager or a coach bigger than a football club too.
Mimi katika hili, i will support Pogba! na Nina sababu moja tu ya msingi kama sio mbili!
I can not think of any manager that's had fallout with Pogba.But i can count so many players had fallout with mourihno in his entire foolball management!
hii tukubali tukatae ila mourihno has terrible man management!Najua fans wengi wa man utd wamekasirishwa na Pogba kurequest transfer to Barca lakini lazima mtambue aliyesababisha hii mess yote ni mourihno otherwise Pogba asingefanya hivyo!
Ona sasa karibia nusu ya wachezaji wa utd wanamsupport Pogba! kumbukeni hawa wachezaji ndio wapo jikoni wanajua nani mwenye tatizo kati ya mourihno na pogba.
Ingawa Mimi sio shabiki wa man utd ila naamini Mourihno is wrong manager kwa team kubwa kama Man utd ukizingatia calture na heshima ya club!
YNWA!




Kumfuta kazi kocha alieiwezesha timu walau kushika nafasi ya pili afukuzwe kwa ajili ya mchezaj ambae hatak kwenda na mfumo wa kocha hamna hatua itayopigwa naona pia ni ngumu maana bodi imechemsha yenyewe kwa kutosikiliza mausala ya kiufundi uwanjani naona wanajitafakari na kuona aibu wanatangaza faida uwanjani hamna kitu.Siwezi mlaumu Ed Woodward kwa sababu alikuwa na expectation kubwa toka kwa huyu Mwalimu kama tulivyokuwa na expectations kubwa baadhi yetu. Kwenye uhalisia ameshindwa na hatuwezi acha mlaumu au Man U kumfukuza eti sababu walimuajiri.
All those fights you mentioned above were immediately fixed either by selling a player out or by discussion and things cooled down!Sir Alex Ferguson v Roy Keane
Sir Alex Ferguson v David Beckham
David Moyes v Patrice Evra
Louis van Gaal v Angel Di Maria
It's not the first time a Manchester United manager and player have clashed...
Sasa kwa mfano akifukuzwa kocha pogba akibaki unatoa taswira gani kwa players waliobaki? Kwamba pogba ni mkubwa kushinda makocha?All those fights you mentioned above were immediately fixed either by selling a player out or by discussion and things cooled down!
Lakini kwa records ya mourihno ni mkorofi
Madrid alichafua dressing room
Chelsea alichafua dressing room
Utd aneshachafua dressing room
No manager greater than a team/club
social media are very personal issue !! na yeye Pogba akiuliza kuna.connection gani video yake kuirusha kwenye Instagram na utd kupoteza mechi ! utamjibu nini?Sasa kwa mfano akifukuzwa kocha pogba akibaki unatoa taswira gani kwa players waliobaki? Kwamba pogba ni mkubwa kushinda makocha?
Mourinho alikuwa sahihi kuuliza video aliyopost pogba insta ana maana gani
Video ilienda baada ya kupokea kichapo
Kocha alikuwa sahihi na hana complex infiriority yupo mchezoni muda mrefu kufungwa si jambo genisocial media are very personal issue !! na yeye Pogba akiuliza kuna.connection gani video yake kuirusha kwenye Instagram na utd kupoteza mechi ! utamjibu nini?
Hizo zote ni inferiority complex za mourihno!
Kuna vitu hata mimi nashangaa sana kama mchezaj anaweza kuicontrol timu una haja ya kuwa na kocha? Je wale wakina herrera na mata ina maana ni wajinga?Mnaomtetea Pogba siwaelewi kabisa
Tatizo mpo desperate kumtoa Jose kiasi cha kwamba upumbavu wa Pogba hamuuoni
Pogba ni mpuuzi kama wapuuzi wengine
He is talented, YES
But he's f*ck**g selfish and individualist
Pogba ni nani kumkosoa Meneja na kocha wake hadharani? Hii inamaana gani kwa Wachezaji wengine kwenye kumuheshimu Mou?
Pogba huyu huyu ameshindwa kukana kwamba anataka kwenda Barcelona, badala yake anasema hawezi kujibu kwani akijibu atapigwa fine
Mourinho kajishusha amempa u captain msaidizi bado haeshimu kitambaa cha unahodha wala haeshimu badge ya United
Pogba ni mpuuzi kama wakala wake Raiola, kumbuka Fergie kawahi kusema kuna mawakala kama 2 ambao hawapendi mmojawapo ni Raiola. Kumbuka alitaka kumpeleka Pogba City January (Guardiola alitoboa siri) na kama wakala alitaka kufanya hivyo, inamaana walishaongea na Pogba na aliridhia.
Na kwenda city kutoka united ni sawa na kumkana baba mzazi na kumfuata mwanaume aliyempora mama kutoka kwa baba kisa hela.
Pogba auzwe. Mou apewe hela anunue beki wa kati na winger then tumuhukumu asipo deliver
Hata style ya kucheza Mou kasema hawezi kushambulia sana kama Liver au City kutokana na aina ya mabeki alio nao (tunajua hatuna beki wa maana hasa wa kati). Apewe hela anunue mtu anayemtaka kama Guardiola na Klop then tumuhukumu kama akizingua
Mkuu nakubaliana na weweKocha alikuwa sahihi na hana complex infiriority yupo mchezoni muda mrefu kufungwa si jambo geni View attachment 879640
Naona watu wanakuwa na mawazo hasi na vile mourinho alivyo lakin kiuhalisia anapaswa kuangalia had nyendo na nidham ya timuMkuu nakubaliana na wewe
Niwakumbushe pia Fergie kawahi kumwambia Beckham aache kuishi kama mtu wa Hollywood na acheze mpira, na baadae akamuuza alivyoona Beckham hamwelewi
Fergie kashawahi kuwashughulikia wachezaji maarufu wengi, Stam, Rud Van, Roy Kean, Beckham sababu kwenye club kocha na meneja atabaki kuwa kiongozi wa timu na wachezaji watamfuata
Kabisa mkuu. Na wanapaswa kujua Mourinho sio kocha wa kwanza kugombana na mchezaji mkubwaNaona watu wanakuwa na mawazo hasi na vile mourinho alivyo lakin kiuhalisia anapaswa kuangalia had nyendo na nidham ya timu