Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Apo man u hakuna viungo kama akina Kante Ngolo, Zonzi.. Ndo maana hang'ai na sio kwamba hapendi kubadilika.!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo juve walikuwepo wakina zonz? Kante hawez kumfanya pogba ang'ae kama uliangalia final na crotia walishindwa kwenda sawa kante alitolewa ni yeye tu kuifanya akili yake kuwa yupo sawa na baadhi ya wenzie pale kinachomfanya pogba achemke united naona anafikir yeye ni special sana kwenda bench ni kazi lakin france alikuwa na watu aneo lake kwenda bench ni rahisi
 
Lindolef hachez kabisa mipira ya juu akiruka na mshambuliaji lazima aanguke ila katakuwa poa kwa mech ya jana nilitumia muda mwingi kumuangalia yeye nilichogundua tunahitaj jemedali mmoja ndipo dogo aendelee kukomaa taratibu umri wake bado mdogo kocha ajae atafaidika sana ni hizo damu changa pia diogo dalot yupo poa nimemuona kweny under 23 juz japo anatumakosa umr nae bado miaka 19 hii ina maana kama shaw ataendelea na kiwango chake bora suala la mabek wa pembeni tunaweza kuanza kulikimbia hapo wakirudi wakina fosu mensah na axel tuanzebe na demitr mitchel na bailly timu ipo suala ni uvumilivu tu.
upo sahihi luke shaw ndiye mchezaji wetu bora kwa mechi nne tulizocheza, amevumilia shutuma zote alizokuwa akibebeshwa na kuamua kuzifanyia kazi na leo hii waingereza na vyombo vyao wamekaa kimya.
luke shaw anatupa mfano tosha ya kwamba jose mourinho hana chuki na wachezaji ila hampendi mchezaji asiyejituma.
ila bado shaw anatakiwa alifanyie kazi suala la upigaji krosi hayupo vizuri sana ukimlinganishana walinzi wengine kama leighton baines.
40573135_2061642397229060_3489999599056191488_n.jpg
 
upo sahihi luke shaw ndiye mchezaji wetu bora kwa mechi nne tulizocheza, amevumilia shutuma zote alizokuwa akibebeshwa na kuamua kuzifanyia kazi na leo hii waingereza na vyombo vyao wamekaa kimya.
luke shaw anatupa mfano tosha ya kwamba jose mourinho hana chuki na wachezaji ila hampendi mchezaji asiyejituma.
ila bado shaw anatakiwa alifanyie kazi suala la upigaji krosi hayupo vizuri sana ukimlinganishana walinzi wengine kama leighton baines.
40573135_2061642397229060_3489999599056191488_n.jpg
Kweli point mkuu shaw bado cross tu ila one against one yupo vizur alishirikiana vizur sana na sanchez naona shaw anacheza kwa kuingia ndani ya box la adui
 
Apo man u hakuna viungo kama akina Kante Ngolo, Zonzi.. Ndo maana hang'ai na sio kwamba hapendi kubadilika.!

Sent using Jamii Forums mobile app
  • mbona croatia hawana toni kroos, casemiro, isco lakini bado luka modric anacheza vizuri mechi zote.
  • mbona matuidi anacheza vizuri akiwa juventus na ufaransa.
  • mbona ngolo kante anacheza vizuri akiwa klabuni na timu ya taifa.
 
Lukaku at 25 has already scored same EPL goals (104) as your legend despite playing 30 less game AND

Ryan Giggs has won more trophy than your club
Comparing Lukaku with Drogba just because he is now level with him interms of goals scored in EPL is typical madness.
I have hundred reasons to justify that but i won't give you one.
What has the number of trophies won by Giggs to do with this?
 
Liverpool na Tottenham zimepangwa katika makundi ya kifo katika upangaji wa makundi huku Manchester United ikitupwa kwa Ronaldo.

Katika upangaji huo wa ratiba ya hatua ya makundi uliofanyika Monaco, Spurs imepangwa kundi B ikiwa pamoja na Barcelona, PSV na Inter Milan.

Liverpool iliyocheza fainali msimu uliopita ipengwa kundi C pamoja na mataji wa PSG, Napoli na Red Stars

Manchester United watakutana na nyota wao wa zamani Cristiano Ronaldo baada ya kupangwa na mabingwa wa Serie A, Juventus.

Ronaldo, ambaye alichezea Man United kati ya 2003 na 2009, amejiunga na Juve kwa gharama ya pauni 99.2milioni Julai baada ya kucheza kwa miaka tisa Real Madrid.

Wapinzani wao wengine ni Valencia na Young Boys katika Kundi Group H.

Mabingwa wa England, Manchester City wametupwa Kundi F, pamoja na Shakhtar Donetsk, Lyon na Hoffenheim.

Mabingwa watetezi Real Madrid, wamepewa kundi rahisi wakiwa Kundi G pamoja na Roma, CSKA Moscow na Viktoria Plzen.

Makundi

Kundi A: Atletico Madrid, Dortmund, Monaco, Club Brugge

Kundi B: Barcelona, TOTTENHAM, PSV, Inter Milan

Kundi C: PSG, Napoli, LIVERPOOL, Red Star Belgrade

Kundi D: Lokomotiv Moscow, Porto, Schalke, Galatasararay

Kundi E: Bayern Munich, Benfica, Ajax, AEK Athens

Kundi F: MAN CITY, Shakhtar, Lyon, Hoffenheim

Kundi G: Real Madrid, Roma, CSKA Moscow, Viktoria Plzen

Kundi H: Juventus, MAN UTD, Valencia, Young Boys
Mkuu we ni me au ke?

We ni shabiki wa timu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini mbona zidane first eleven yake ilikua inajulikana pale Madrid,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna maeneo ambayo bado Mou hajaamua nani anapaswa kuanza kikosi cha kwanza, mfano beki za kati

Lakini pia kila mechi ina-approach yake. Mfano mechi ya jana ni physical so fellain alihitajika kwenye game ya gani. Hata Klop juzi kamuanzisha Henderson badala ya Naby Keita. Kuna mechi Stones, Kampany, Otamendi na Laporte wanapishana kucheza pale City kwa sababu tofautitofauti.

Sababu nyingine huwa ni team rotation

Sasa Mou kubadili wachezaji kadhaa sio jambo la ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom