Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Yaani Mi Mpka Nimeshindwa Shangaa.Kamtoa sanchez![]()
Mou Nae Mda Mwengine, Sanchez Katoka Uku Amekasirika
Yaani Mi Mpka Nimeshindwa Shangaa.Kamtoa sanchez![]()
Labda kama appeal itasimamiwa na Howard Webb
UTAPATA TABU SANA. tulia dawa ikuingie.Mnalolote mnabahatisha tu subili mkutane na wajuaji mtakiona cha moto
Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
Download apps inaitwa Navixsport ipo playstore. Wameonyesha premier league live.
Ulete na mrejesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umona kazi yake nimeshindwa kuingia hapa nlikuwa naangalia kupitia simu fellain kacheza vizur sana
Safi sana mkuu tunatakiwa kuipenda timu kwa hali zote
Mkuu umona kazi yake nimeshindwa kuingia hapa nlikuwa naangalia kupitia simu fellain kacheza vizur sana