Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna maeneo ambayo bado Mou hajaamua nani anapaswa kuanza kikosi cha kwanza, mfano beki za kati

Lakini pia kila mechi ina-approach yake. Mfano mechi ya jana ni physical so fellain alihitajika kwenye game ya gani. Hata Klop juzi kamuanzisha Henderson badala ya Naby Keita. Kuna mechi Stones, Kampany, Otamendi na Laporte wanapishana kucheza pale City kwa sababu tofautitofauti.

Sababu nyingine huwa ni team rotation

Sasa Mou kubadili wachezaji kadhaa sio jambo la ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sababu kubwa ni timu pinzani wanayokutana nayo, Mourinho amekua akimuanzisha Lindelof kwenye mechi ambazo anajua timu itamiliki mpira zaidi ya mpinzani wake au timu pinzani haina straika ambae ana mwili mkubwa na msumbufi.
Hivyo hivyo ata kwa Man City, Laporte ananza mechi nyingi ambazo City ana uhakika wakutopata upinzani kutoka kwa mastraika wasumbufu. Angalia mechi kubwa kama Laporte kaanza ata moja.
 
Huyu dogo kwenye game za timu ya taifa hana makosa madogo madogo kama akiwa united,kuna anayeweza kulisemea hili tafadhali?
 
Lukaku si type ya Manchester kwa sasa (wapo wengi pale united)

Mtu aina ya Lukaku pale United yeye ndiye mwenye jukumu la mwisho katika kuipa timu ushindi au kuinyima lakini yeye ndio amekuwa mtu wa kwanza kuboronga nikitoa mechi ya jana aliyoshindwa kuconvert nafasi za wazi 3 hapa nazungumzia game ya Spurs na Leicester games ya Brighton sikuangalia (alifunga)

game ya Leicester alikosa nafasi ya wazi alikuwa yeye na kipa tu akakosa kutupa goli la tatu na mchezo haukuwa rafiki kwa siku ile....forward anakosa ndiyo lakini si kwa ukosaje wake

kuna haja ya kuzungumzia ile clear chance agains Spurs??? jana je???

MWISHO: msiniquote vibaya Lukaku ni mchezaji mzuri ila si aina ya mchezaji wa United.

Didier Drogba apps 254 goals 104
Romelu Lukaku apps 224 goals 104

hakuna sehemu niliyosema Lukaku ni bora kuliko Drogba hapo....

i see Jordi Alba in LUKE SHAW

GGMU
Lukaku huwa anakosa clear chance :YES na sio yeye tumeona Morata,Auba,Sterling,Suarez wanakosa magoli
Lukaku last season alianza kwa kasi sana but msimu huu hakuwa na pre-season so hana match fitness (same to Pogba,Matic) na mfumo anaocheza United anapewa mzigo mkubwa sana.Mara nyingi anarudi kati kutafuta mpira na mara nyingi anakuwa isolated peke yake kupambana na 2 CB + Fullbacks

Mpira wa siku hizi umebadilika sana sio wa kumtegemea striker pekee ndio wafunge magoli defenders+midfielders wanapaswa kumsaidia Lukaku/timu kufunga magoli.
One of the strenghth za Lukaku ni mipira ya juu but our midfielders wanashindwa kumtengenezea nafasi ya magoli ya vichwa
 
Goli la Mo Salah dhidi ya Everton lipo kati ya magoli yanayowania tuzo ya FiFA ya Puskas pia Salah anawania tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume wa FIFA 2018.

Mashabiki wote wa Liverpool na wapenda mpira wa ukweli fuata link hii kisha chagua Mo Salah. Anaejua mpira anastahili

The Best FIFA Football Awards - FIFA.com
IMG_20180903_190805_909.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dogo kwenye game za timu ya taifa hana makosa madogo madogo kama akiwa united,kuna anayeweza kulisemea hili tafadhali?
Pale United hana beki kiongozi. Hakuna senior wa kumtumà.

Pale Sweden ana mkongwe mmoja, nadhani ni 35yrs old ambaye ana form partnership naye nzuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lukaku huwa anakosa clear chances :YES na sio yeye tumeona Morata,Auba,Sterling,Suarez wanakosa magoli
Lukaku last season alianza kwa kasi sana but msimu huu hakuwa na pre-season so hana match fitness (same to Pogba,Matic) na mfumo anaocheza United anapewa mzigo mkubwa sana.Mara nyingi anarudi kati kutafuta mpira na mara nyingi anakuwa isolated peke yake kupambana na 2 CB + Fullbacks

Mpira wa siku hizi umebadilika sana sio wa kumtegemea striker pekee ndio wafunge magoli defenders+midfielders wanapaswa kumsaidia Lukaku/timu kufunga magoli.
One of the strenghth za Lukaku ni mipira ya juu but our midfielders wanashindwa kumtengenezea nafasi ya magoli ya vichwa
mada yangu ilibase hapo tu kama ulinielewa vizuri sijasema kuhusu mfumo, match fitness au morale nimesema clear chances na hakuna kocha anaefundisha kufunga
 
mada yangu ilibase hapo tu kama ulinielewa vizuri sijasema kuhusu mfumo, match fitness au morale nimesema clear chances na hakuna kocha anaefundisha kufunga
Magoli anayokosa Lukaku mengi ni kuchelewa kufanya decision mwili wake ni mkubwa anachukua muda mwingi kufanya decision so ni rahisi kipa/mchezaji kumkaba/kumzuia
 
Magoli anayokosa Lukaku mengi ni kuchelewa kufanya decision mwili wake ni mkubwa anachukua muda mwingi kufanya decision so ni rahisi kipa/mchezaji kumkaba/kumzuia
nadhani tunaongea lugha moja sasa tukabaliane kwa pamoja kwa Lukaku si mchezaji anaetakiwa United
 
nadhani tunaongea lugha moja sasa tukabaliane kwa pamoja kwa Lukaku si mchezaji anaetakiwa United
Football is teamwork sport unlike boxing ndio maana Olivier Giroud ni WC winner
 
Football is teamwork sport unlike boxing ndio maana Olivier Giroud ni WC winner
unataka kunambia lile la wazi agaist Spurs pia linahitaji team work?? au mimi sielewi maana ya team work
 
Nadhani hukuelewa nilichokuwa namjibu Belo sikuwa nafanya comparison kati ya Solskjaer na Bergkamp bali nilikuwa najaribu kumuelewesha kwamba kufanya comparison ya ubora kati ya mchezaji wa EPL ya leo na ya miaka kadhaa nyuma kwa kutumia kigezo cha magoli kama alivyofanya yeye kwa Lukaku na Drogba ni nonsense.
Just because Lukaku ana magoli 104 katika EPL sawa na aliyofunga Drogba basi ndo tuseme Lukaku is already up there with the likes of Didier Drogba.
Kumlinganisha Lukaku na Drogba ni matusi kwa drogba.
 
laiti tungepata mtu kama Van nestroy au Van Persie foward yale magoal anayekosa Lukaku tusingekuwa tunalaumu sasa hivi.
 
Back
Top Bottom