kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,350
Ni sahihi ukisemacho ila kiubinadamu baadhi ya vitu unajikuta unatoka nje ya mstari,refer back to Zinedine against Marco materrazi tena kwenye moment kama ile kwenye fainali ya kombe la dunia tena zizzou akiwa ndo mbeba timu na capitanoDogo Rashford alitakiwa awe mpole na sio kuresort kwenye hasira zinazoipa hasara timu, fikiria anafanya upuuzi huo kwenye mechi vs City au Chelsea? Kama sio kupigwa hata tano
Hasira kama zile angeonyesha mtaani na sio ndani ya mechi! Ingekuwa mechi hata ya Arsenal ile red card ingeigharimu MUFC kipigo heavy, inabidi awe anatanguliza tafakuri na sio hamasa
Sent using Jamii Forums mobile app


