Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lakini mnasahau hizo chance ame craete yeye mwenyewe kwa juhudi zake kupitia kasi yake na kuwapa nyama mabeki upinzani. Chance zile aina ya striker kama kina Kane na Morata hawawezi kuzitengeneza

Sent using Jamii Forums mobile app
Issue ni kushindwa kufunga tu,mimi naona anajua sana kujiposition ila its useless kama team hainufaiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ole Gunnar Solskjaer
Appearances-235
Goals-91
Dennis Bergkamp
Appearances-315
Goals-87
What are you trying to tell us?
Mzee baba umetoa wapi vitakwimu vyako uchwara???
Screenshot_20180903-152957.jpg

Halafu huyo alikuwa akitoakea bench na majeruh kibao super sub
 
Peter Schmeichel has instructed the Manchester United board to give Jose Mourinho ‘time and patience’ and says he can deliver the club a Premier League title.

But Schmeichel, a five-time Premier League title winner, insists Mourinho is capable of turning things around if he is given ‘time and patience’ from the Manchester United board.

‘We finished runners-up last season from fifth the campaign before. We’re straight into the Champions League this year, we won the Europa League and we’ve been in two FA Cup finals.

‘This is great. Yes we strive for more, but these are very positive things.
 
Basi bado zinambemba baby face maana kapiga hizo goli ktk mechi 235 chache halafu injury prone na mtokea bench wakat huyo ktk mech 315
Nadhani hukuelewa nilichokuwa namjibu Belo sikuwa nafanya comparison kati ya Solskjaer na Bergkamp bali nilikuwa najaribu kumuelewesha kwamba kufanya comparison ya ubora kati ya mchezaji wa EPL ya leo na ya miaka kadhaa nyuma kwa kutumia kigezo cha magoli kama alivyofanya yeye kwa Lukaku na Drogba ni nonsense.
Just because Lukaku ana magoli 104 katika EPL sawa na aliyofunga Drogba basi ndo tuseme Lukaku is already up there with the likes of Didier Drogba.
 
Kuna improvement kubwa sana ya timu hasa kwenye kutengeneza nafasi still bado tuna tatizo la kutumia nafasi vizuri
- 8 shots vs Leicester
- 9 shots vs Brighton
-23 shots vs Spurs
-21 shots vs Burnley
 
Nadhani hukuelewa nilichokuwa namjibu Belo sikuwa nafanya comparison kati ya Solskjaer na Bergkamp bali nilikuwa najaribu kumuelewesha kwamba kufanya comparison ya ubora kati ya mchezaji wa EPL ya leo na ya miaka kadhaa nyuma kwa kutumia kigezo cha magoli kama alivyofanya yeye kwa Lukaku na Drogba ni nonsense.
Just because Lukaku ana magoli 104 katika EPL sawa na aliyofunga Drogba basi ndo tuseme Lukaku is already up there with the likes of Didier Drogba.
I think ulipaswa uanze kumjibu mwenzio aliyesema Samata ni bora kuliko Lukaku
 
Lukaku si type ya Manchester kwa sasa (wapo wengi pale united)

Mtu aina ya Lukaku pale United yeye ndiye mwenye jukumu la mwisho katika kuipa timu ushindi au kuinyima lakini yeye ndio amekuwa mtu wa kwanza kuboronga nikitoa mechi ya jana aliyoshindwa kuconvert nafasi za wazi 3 hapa nazungumzia game ya Spurs na Leicester games ya Brighton sikuangalia (alifunga)

game ya Leicester alikosa nafasi ya wazi alikuwa yeye na kipa tu akakosa kutupa goli la tatu na mchezo haukuwa rafiki kwa siku ile....forward anakosa ndiyo lakini si kwa ukosaje wake

kuna haja ya kuzungumzia ile clear chance agains Spurs??? jana je???

MWISHO: msiniquote vibaya Lukaku ni mchezaji mzuri ila si aina ya mchezaji wa United.

Didier Drogba apps 254 goals 104
Romelu Lukaku apps 224 goals 104

hakuna sehemu niliyosema Lukaku ni bora kuliko Drogba hapo....

i see Jordi Alba in LUKE SHAW

GGMU
 
Wamelinganisha kwa idadi ya mechi na si kwa ubora didier drogba ni habar nyingine kabisa alikuwa na uwezo wa kuamua mechi bila wasiwasi kwa nafasi ambazo lukaku kakosa magoli hata chicharito alikuwa hakuachi
 
Hahahahah wameficha coment zao wanasubir tupigwe

Hahahhaha,mkuu @Radika,tunakomenti kwa zamu kulingana na matokeo ya timu.
Hata ukiangalia comments nyingi humu hazikuwepo pindi tulipochezea kwa spurs.
Kimsingi hatukatai timu kufungwa bali tunafungwa vipi na tunacheza vipi ndio kitu cha msingi kwa upande wangu.
Kati ya game zetu zote tulizocheza,binafsi nilifurahia mpira tuliocheza dhidi ya spurs ingawa ndio game tuliyopigwa kwa aibu zaidi.
 
Hata game ya burnley tulikuwa bora sna goli kama nne za wazi tumekosa tulikuwa pungufu bado tulikuwa hatar

Mech mbovu ni ya brighton hii mech hadi bench la ufundi lilikuwa sifur
 
Lakini mnasahau hizo chance ame craete yeye mwenyewe kwa juhudi zake kupitia kasi yake na kuwapa nyama mabeki upinzani. Chance zile aina ya striker kama kina Kane na Morata hawawezi kuzitengeneza

Sent using Jamii Forums mobile app
unatengeneza chance halafu hauconvert inamaana gani?? angalia Kane hatengenezi chances lakini habari yake hakuna asiyejua
 
Wamelinganisha kwa idadi ya mechi na si kwa ubora didier drogba ni habar nyingine kabisa alikuwa na uwezo wa kuamua mechi bila wasiwasi kwa nafasi ambazo lukaku kakosa magoli hata chicharito alikuwa hakuachi
YES tunaongea lugha moja leo
 
Hahahhaha,mkuu @Radika,tunakomenti kwa zamu kulingana na matokeo ya timu.
Hata ukiangalia comments nyingi humu hazikuwepo pindi tulipochezea kwa spurs.
Kimsingi hatukatai timu kufungwa bali tunafungwa vipi na tunacheza vipi ndio kitu cha msingi kwa upande wangu.
Kati ya game zetu zote tulizocheza,binafsi nilifurahia mpira tuliocheza dhidi ya spurs ingawa ndio game tuliyopigwa kwa aibu zaidi.
Ndio maana tunasema mpira ni magoli,Spurs walicheza kama Manchester United ya Mourinho while United walicheza kama Spurs ya Pochetino na mwisho tukapoteza mechi
 
  • mbona croatia hawana toni kroos, casemiro, isco lakini bado luka modric anacheza vizuri mechi zote.
  • mbona matuidi anacheza vizuri akiwa juventus na ufaransa.
  • mbona ngolo kante anacheza vizuri akiwa klabuni na timu ya taifa.

Modric alikua na kiungo bora kabisa Rakitic na Brozovic waliokua wanafanya dirty work zote, Modric alikua free na alicheza vizuri zaidi ya anavyocheza Madrid.
 
Approach ya game ya Tots was bomba although we lost. Fred haja catchup lakini yupo sharp sana. Infact kwa aina ya beki zetu ni sahihi kucheza na double pivot(two holding). Ikishakuwa hivyo ni sahihi kumtumia mtu km Sanches au Fred na Lingard kumsapoti Likaku. Lipogba anahitaji psychotherapist, he isnt ok mentally. Very slow, not motivated at all. At this juncture Pogba isnt an asset

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana tunasema mpira ni magoli,Spurs walicheza kama Manchester United ya Mourinho while United walicheza kama Spurs ya Pochetino na mwisho tukapoteza mechi

Tukiongea ukweli,mechi dhidi ya spurs tulifungwa kutokana na makosa ya kizembe ya mabeki wa kati kitu ambacho kwenye game ya burnley hakikuwepo. Point yangu ni kwamba tunaweza kucheza mpira mzuri na bado tukapata matokeo chanya kuliko kujilinda halafu bado tunafungwa.
Mfano mzuri ni mechi yetu ya pili dhidi ya citizens,kipindi cha kwanza tulipaki basi tukapigwa,tulivyolikodisha tukapata matokeo ya kushawishi kabisa.
 
Back
Top Bottom