Ndugu watu huwa wanachukia mpira mbovu uliozoeleka na Mou na si kwamba hata timu iki improve watu wanamchukia tu kocha. Ilifikia kipindi humu watu walisema kufungwa siyo ishu ila tatizo timu inafungwaje,inachezaje? Ndo mana Mimi hata tulipofungwa na Tot bado nilisema nimepata matumaini makubwa na timu kutokana na mabadiliko niliyoyaona kiuchezaji. So hata Leo timu imecheza vizuri sanaaa,sijaona kupaki cjui basi au baiskeli. Mwl akiendelea hivi sapoti yangu anayo kubwa tu,ila kamwe sitamsapoti atapocheza lile limpira lake la kuirundika timu yote nyuma.
Sent using
Jamii Forums mobile app