Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pereira
IMG_20180808_220308_042.jpg
 
Bodi ni wasaliti wa makocha pale hata aje nani hili suala litasumbua sana ila sisi tunapambana na kocha tu mtu kaomba wachezaj wa tano mabek na viungo ushambuliaji mapema sana kasema hana mpango sasa tujiulize akiumia pogba nani anachukua mahala pake?
Umeongea ukweli kabisa kuhusu bodi ila ushawahi jiuliza kwanini hawataki kusajili hao wachezaji anaowataka kocha?
 
Nikiangalia kikosi cha Liverpool, then nikaangalia United, sioni mchezaji hata mmoja wa kulinganisha na United lakini bado wanafunguka na wanajiamini. Angalia midfield, ni nani kati ya Jordan, Fabinho au Keita unaweza kumlinganisha na Pogba, Matic, Herera au Fred?
 
Umeongea ukweli kabisa kuhusu bodi ila ushawahi jiuliza kwanini hawataki kusajili hao wachezaji anaowataka kocha?
Nimechunguza ceo wa united anapenda wachezaji wenye majina sokoni afanye vizur kibiashara alikasirika sana mourinho kupinga kumrudisha ronaldo
 
Kazi ipo, hivi watu wanamjua vizuri mbrazil Fabinho au ndio mahaba niue?

Kuna kiungo mwenye uwezo zaidi ya Fabinho pale Old Traford?

Kuna Forward yeyote mwenye uwezo mkubwa kwenye kufinish kwenye goal chances kama Salah pale Old traford?
 
Nimechunguza ceo wa united anapenda wachezaji wenye majina sokoni afanye vizur kibiashara alikasirika sana mourinho kupinga kumrudisha ronaldo
Basi tutulie hakuna namna maana JM kaomba watu wa kazi alafu bodi imempa mtu wa kazi.
 
Msimu ule aliomba wachezaji wa nne alipata matic na lukaku tu ujue hiyo hufanya kocha kubadili sasa mbinu zake inatosha kabisa kumfelisha nakwambia
Mkuu kwa hii statement unataka kutuaminisha kuwa #Mou akipata anaowataka tutakua tunapiga soka safi la kuvutia?
 
Hawajawahi kuwa na kocha aliyekaa miaka 20+
Na kama issue ni kubadilisha makocha Since SAF ameondoka Mourinho ni kocha wa 4 ndani ya miaka 5
Kocha wa tatu baada ya Moyes na Van Gaal.
 
Scholes Kafunguka
IMG_20180808_231854_882.jpg
 
Attachments

  • IMG_20180808_231535_206.JPG
    IMG_20180808_231535_206.JPG
    55.9 KB · Views: 36
  • Screenshot_20180808-231445.jpg
    Screenshot_20180808-231445.jpg
    57.7 KB · Views: 33
  • IMG_20180808_231535_206.JPG
    IMG_20180808_231535_206.JPG
    55.9 KB · Views: 32
  • Screenshot_20180808-231445.jpg
    Screenshot_20180808-231445.jpg
    57.7 KB · Views: 29
Kazi ipo, hivi watu wanamjua vizuri mbrazil Fabinho au ndio mahaba niue?

Kuna kiungo mwenye uwezo zaidi ya Fabinho pale Old Traford?

Kuna Forward yeyote mwenye uwezo mkubwa kwenye kufinish kwenye goal chances kama Salah pale Old traford?
Fabinho yupi huyo?? huyu aliyeachwa timu ya taifa akaenda Fred au ni yupi??
 
Vyote viende sambamba..na pia tusipopata kombe tucheze basi hata vizuri hata kwa asilimia 75 ya mechi zote za msimu
ikawaje LVG akatimuliwa wakati alishaanza kuanzisha falsafa yake?? kwa style hiyo timua timua tusitegemee chochote hata akija Guardiola

Moyes 10 months sacked
LVG 2yrs katimuliwa (kama sijakosea sana )
JM 2yrs ndo msimu wake wa tatu huu unaenda kuanza hebu tumuulize JM baada ya msimu huu kuisha.
 
Bodi ni wasaliti wa makocha pale hata aje nani hili suala litasumbua sana ila sisi tunapambana na kocha tu mtu kaomba wachezaj wa tano mabek na viungo ushambuliaji mapema sana kasema hana mpango sasa tujiulize akiumia pogba nani anachukua mahala pake?
Mkuu unaikumbuka Man ya Ferguson inachukua ubingwa na Fredericko Macheda?

Hivi Ferguson Alikua na wachezaji mastaa Kila namba?

Kiukweli nakubali Mourihno ameifikisha United mahali tofauti na Ilipokua before,
Ila mashabiki wanaona Ana kikosi cha kufanya vema zaidi na sio kucheza mpira mbovu wa kupaki basi na Leicester OT.

Mimi naipa Ubingwa Man City mapema sana kutokana na MFUMO Wao unaoeleweka uliotengenezwa na Pep..jamaa still watakua wagumu kuzuilika.
 
Mchezaji kukataa timu ni kawaida sana hamna kocha asiekataliwa tumekataliwa na wachezaj wazur tukiwa na kocha mzoefu wa timu mi sioni shida maana kila mtu anakuwa na ndoto yake.
Man u ni timu ambayo wachezaji wengi wangependa kucheza apo, sasa ukiona wanaikataa ujue kuna tatizo apo . .
 
Mkuu unaikumbuka Man ya Ferguson inachukua ubingwa na Fredericko Macheda?

Hivi Ferguson Alikua na wachezaji mastaa Kila namba?

Kiukweli nakubali Mourihno ameifikisha United mahali tofauti na Ilipokua before,
Ila mashabiki wanaona Ana kikosi cha kufanya vema zaidi na sio kucheza mpira mbovu wa kupaki basi na Leicester OT.

Mimi naipa Ubingwa Man City mapema sana kutokana na MFUMO Wao unaoeleweka uliotengenezwa na Pep..jamaa still watakua wagumu kuzuilika.
Kama ni kusikiliza maoni ya mashabiki wa JF Manchester United bodi wasingempa kazi Mourinho huo mfumo wake mbovu ndio uliwashawishi wakampa hiyo kazi,
Ferguson alikuwa anatengeneza backbone ya timu mfano 1998-1999 alikuwa na (Schmeichel,Nevilles,Irwin,Stam,Johnsen,Keane,Butt,Scholes,Beckham,Giggs,Cole,Yorke,Solskjaer)
Then 2006-2008 (Van der Sar,Evra,Vidic,Rio,Carrick,Hargo,Nani,Rooney,CR7,Tevez,Giggs,Scholes) na ilikuwa rahisi yeye kufanya hivyo sababu alipata support kubwa sana toka kwa management now its very difficult kocha akifundisha misimu 2 hata akichukua ubingwa kunakuwa na pressure kubwa kocha kufukuzwa
 
Makombe aliyopata mourinho mwaka mmoja man u ni mengi kushinda iliyopata timu kama Arsenal na Liverpool miaka kama 10 iliopita.

Liver na Arsenal watakuwa makocha wao ni waokota mipira kabisa kwa hii logic
Acha kuongea pumba

Kwa hiyo miaka 10 , arsenal ana 3 FA cups and 3 community shields

Huyo mou hapo man u ana 1 FA CUP, 1 CARABAO and 1 community shield

Haya njoo na uropokaji mwingine
 
Back
Top Bottom