Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Style ya uchezaji wa JM inafanya tuonekane kama leicester kwenye dirisha la usajili,akiendelea huyu bwana itafika mahala tukigombea mchezaji na swansea mchezaji ataichagua swansea.
Ishu ya mchezaji kuataa timu A na kwenda timu B sio jambo jipya na halitakuwa jipya. Gaucho alitukataa over Barca, Sanchez alituchagua over Manchester city, Jorginho kaikataa city kaenda Chelsea. Hiyo ni mifano michache tu. Kwa hiyo sio kitu kipya. Kikubwa kinacho takiwa kufanyika ni kupata at least 75 ya targets ambazo kocha ameziainisha. Watu wanao husika na usajili inabidi waonyeshe kwamba wanafanya jitihada kuweza kumshawishi mchezaji husika.
 
Huko mkuu kamwe hatufiki kocha ni mpambanaji sana ni suala la muda tu bado tunawachezaji wazur ambao hawakucheza pre season

Alikuwa nao msimu uliopita na hatukufanikiwa sana,tunaomba abadili mfumo maana ndicho kitu tunachoona kinatuangusha.
Anaweza kupaki bus game za top 6 lakini si dhidi ya leicester and the likes.
 
Ishu ya mchezaji kuataa timu A na kwenda timu B sio jambo jipya na halitakuwa jipya. Gaucho alitukataa over Barca, Sanchez alituchagua over Manchester city, Jorginho kaikataa city kaenda Chelsea. Hiyo ni mifano michache tu. Kwa hiyo sio kitu kipya. Kikubwa kinacho takiwa kufanyika ni kupata at least 75 ya targets ambazo kocha ameziainisha. Watu wanao husika na usajili inabidi waonyeshe kwamba wanafanya jitihada kuweza kumshawishi mchezaji husika.
Kushindwa kumpa watu wake kunamfanya aongee sana msimu ule hivyo hivyo wachezaji aliwaotaka kama kipaumbele hakupata kapata wa plan b mpe watu ashindwe tumpige nyundo kaomba wachezaji wa tano hata wa tatu hamna walio ktk mipango yake tunapiga nawe tu ktk chaguo lake kampata fred dalot na kipa zali tu hakika inashangaza sana moyes alilia na usajili vana gal nae hivyo hivyo jamani
 
Alikuwa nao msimu uliopita na hatukufanikiwa sana,tunaomba abadili mfumo maana ndicho kitu tunachoona kinatuangusha.
Anaweza kupaki bus game za top 6 lakini si dhidi ya leicester and the likes.
Msimu ule aliomba wachezaji wa nne alipata matic na lukaku tu ujue hiyo hufanya kocha kubadili sasa mbinu zake inatosha kabisa kumfelisha nakwambia
 
Ishu ya mchezaji kuataa timu A na kwenda timu B sio jambo jipya na halitakuwa jipya. Gaucho alitukataa over Barca, Sanchez alituchagua over Manchester city, Jorginho kaikataa city kaenda Chelsea. Hiyo ni mifano michache tu. Kwa hiyo sio kitu kipya. Kikubwa kinacho takiwa kufanyika ni kupata at least 75 ya targets ambazo kocha ameziainisha. Watu wanao husika na usajili inabidi waonyeshe kwamba wanafanya jitihada kuweza kumshawishi mchezaji husika.

Wachezaji wanapokataa kusajiliwa timu A na kwenda timu B kunakuwa na sababu nyingi mkuu,mfano kupata namba ya kudumu kikosi cha kwanza (joginho),uwezekano wa kupata makombe anakokuchagua,mkataba mnono (case ya sanches),aina ya uchezaji (boateng na gaucho),ubora wa ligi na kadhalika. Lakini kwa Boateng (na savic kama tetesi ni za kweli) kukataa yeye binafsi tatizo linarudi kwenye mfumo wa kocha pia
 
Msimu ule aliomba wachezaji wa nne alipata matic na lukaku tu ujue hiyo hufanya kocha kubadili sasa mbinu zake inatosha kabisa kumfelisha nakwambia

Kama sikosei alimkosa Perisic tu ingawa january alimpata sanches na hakukuwa na mabadiliko
 
Kushindwa kumpa watu wake kunamfanya aongee sana msimu ule hivyo hivyo wachezaji aliwaotaka kama kipaumbele hakupata kapata wa plan b mpe watu ashindwe tumpige nyundo kaomba wachezaji wa tano hata wa tatu hamna walio ktk mipango yake tunapiga nawe tu ktk chaguo lake kampata fred dalot na kipa zali tu hakika inashangaza sana moyes aliliia na usajili vana gal nae hivyo hivyo jamani
Hilo ndio tatizo. Mimi naamini msimu uliopita angetimiziwa matakwa yake msimu huu maboresho yangebaki madogo madogo.

Na kama bodi haina imani na kocha ndio maana hawampi hela(kwa mujibu wa baadhi ya mashabiki humu), basi wamtimue kazi watafute MTU ambaye wana imani naye kuliko kumtegea mtego halafu kumsubiri anase.

Japo Mimi naona bodi ndio inamzingua Mourinho.
 
Bodi ni wasaliti wa makocha pale hata aje nani hili suala litasumbua sana ila sisi tunapambana na kocha tu mtu kaomba wachezaj wa tano mabek na viungo ushambuliaji mapema sana kasema hana mpango sasa tujiulize akiumia pogba nani anachukua mahala pake?
 
Jamani Jamani Jamani!!! Mbona mnacharurana hii nyumba? pre season tu hii mnacharurana hivi? Hata ligi haijaanza jamaniiiii!!!!(in sukuma's voice) au usajili wa nyumba za jirani unawakatisha tamaa?? Bado safari yetu ni ndefu sana,ni kama vile wana wa Israel walipoingia Misri wakatawala akaja yule Farao mkatili akawatesa weee baadaye ukaja ukombozi sasa kuelekea nchi ya maziwa na asali ilibidi tena wasote miaka 40, ila katika hiyo miaka walikuwa na neema nyingi nyingi tu, ndo kama sisi always am stand to be positive with my team no matter what still we have a grace and i believe too in this Season we will do better. Bado tupo safarini ....... lets be positive!!!

GLORY GLORY MANCHESTER UNITED.
 
Wachezaji wanapokataa kusajiliwa timu A na kwenda timu B kunakuwa na sababu nyingi mkuu,mfano kupata namba ya kudumu kikosi cha kwanza (joginho),uwezekano wa kupata makombe anakokuchagua,mkataba mnono (case ya sanches),aina ya uchezaji (boateng na gaucho),ubora wa ligi na kadhalika. Lakini kwa Boateng (na savic kama tetesi ni za kweli) kukataa yeye binafsi tatizo linarudi kwenye mfumo wa kocha pia
Mkuu kama umekubali kuwa mchezaji kukataa kwenda timu inaweza sababishwa na vitu vingi. Kipi kimekufanya ufanye hitimisho kuwa kina Boateng wamekataa sababu ya kocha?
 
Hilo ndio tatizo. Mimi naamini msimu uliopita angetimiziwa matakwa yake msimu huu maboresho yangebaki madogo madogo.

Na kama bodi haina imani na kocha ndio maana hawampi hela(kwa mujibu wa baadhi ya mashabiki humu), basi wamtimue kazi watafute MTU ambaye wana imani naye kuliko kumtegea mtego halafu kumsubiri anase.

Japo Mimi naona bodi ndio inamzingua Mourinho.
Morinho alipata zali kipindi kile Timu katika EPL zilikuwa 3 zenye nguvu zingine zote zilikuwa za kawaida Leo hii timu 6 zinapigania ubingwa hawezi kwa staili yake ya mpira wa kujihami, atapata tabu sana, Alishindwa kipindi kile Madrid akiwa na vijana wazuri kuanzia beki hadi forwad
 
Bodi ni wasaliti wa makocha pale hata aje nani hili suala litasumbua sana ila sisi tunapambana na kocha tu mtu kaomba wachezaj wa tano mabek na viungo ushambuliaji mapema sana kasema hana mpango sasa tujiulize akiumia pogba nani anachukua mahala pake?
Nadhani kina Ed wameanza kulewa na hela za nje ya uwanja. Wamesahau kufanya investment uwanjani
 
Jamaa nguvu kubwa kawekeza kwenye pesa timu imeziangusha barcelona na madrid kipesa wakat sisi uwanjani tuko vibaya sana cha ajabu tumependa baada ya sir alex kusepa.
 
Mkuu kama umekubali kuwa mchezaji kukataa kwenda timu inaweza sababishwa na vitu vingi. Kipi kimekufanya ufanye hitimisho kuwa kina Boateng wamekataa sababu ya kocha?

Sio lazima aseme mkuu unaangalia mazingira una draw hitimisho.
Jamaa ana 29 na mshahara wake sio mkubwa.
Angekuja man united angekuwa kiongozi na namba angepata kikosi cha kwanza kwa kuzingatia ubora wa wachezaji tulionao kwa sasa namba anayocheza.
Bayern ya kizazi chake inafutika pale na bila shaka hata yeye hana future ya muda mrefu.
Kwa umri wake anajua hapaswi kucheza kwa style ya mou maana hata last miaka 2 akiwa kwenye fomu.
Na mengine mengi mkuu
 
Jamani Jamani Jamani!!! Mbona mnacharurana hii nyumba? pre season tu hii mnacharurana hivi? Hata ligi haijaanza jamaniiiii!!!!(in sukuma's voice) au usajili wa nyumba za jirani unawakatisha tamaa?? Bado safari yetu ni ndefu sana,ni kama vile wana wa Israel walipoingia Misri wakatawala akaja yule Farao mkatili akawatesa weee baadaye ukaja ukombozi sasa kuelekea nchi ya maziwa na asali ilibidi tena wasote miaka 40, ila katika hiyo miaka walikuwa na neema nyingi nyingi tu, ndo kama sisi always am stand to be positive with my team no matter what still we have a grace and i believe too in this Season we will do better. Bado tupo safarini ....... lets be positive!!!

GLORY GLORY MANCHESTER UNITED.

Tunajadili tu dada everlenk
 
Morinho alipata zali kipindi kile Timu katika EPL zilikuwa 3 zenye nguvu zingine zote zilikuwa za kawaida Leo hii timu 6 zinapigania ubingwa hawezi kwa staili yake ya mpira wa kujihami, atapata tabu sana, Alishindwa kipindi kile Madrid akiwa na vijana wazuri kuanzia beki hadi forwad
Mkuu sidhani kama ni sahihi kusema Mou alichukua ubingwa kwa zari. Mara zote alizo beba ubingwa Chelsea walikuwa na timu nzuri.
Kwa ishu ya Madrid ni kweli kuwa Mourinho hakufikia expectations. Lakini kumbuka aliikuta Madrid ambayo UEFA ilikuwa inaishia 16, lakini kwa misimu mitatu yote aliyo kuwepo wametolewa kwenye nusu fainali au robo fainali (Mara mbili katolewa na Barca nzuri na yenye figisu na Mara moja katolewa na Borutia). Katika misimu mitatu hiyo alichukua kombe moja la ligi kwa historia ya kufunga magoli Mengi zaidi.
Na lazima tukubali kuwa kwenye ligi alikuwa anachuana na Barcelona ambayo kwa wakati ule ilikuwa ndio timu bora na bado ilikuwa imekaa kwa muda mrefu.
 
Sio lazima aseme mkuu unaangalia mazingira una draw hitimisho.
Jamaa ana 29 na mshahara wake sio mkubwa.
Angekuja man united angekuwa kiongozi na namba angepata kikosi cha kwanza kwa kuzingatia ubora wa wachezaji tulionao kwa sasa namba anayocheza.
Bayern ya kizazi chake inafutika pale na bila shaka hata yeye hana future ya muda mrefu.
Kwa umri wake anajua hapaswi kucheza kwa style ya mou maana hata last miaka 2 akiwa kwenye fomu.
Na mengine mengi mkuu
Beki akatae kuzuia mkuu? Pia kama tungemsajili yule jamaa ni hasara kubwa mno bora hata kubaki na smalling bek wa kumtaka ni tobby tu
 
Sio lazima aseme mkuu unaangalia mazingira una draw hitimisho.
Jamaa ana 29 na mshahara wake sio mkubwa.
Angekuja man united angekuwa kiongozi na namba angepata kikosi cha kwanza kwa kuzingatia ubora wa wachezaji tulionao kwa sasa namba anayocheza.
Bayern ya kizazi chake inafutika pale na bila shaka hata yeye hana future ya muda mrefu.
Kwa umri wake anajua hapaswi kucheza kwa style ya mou maana hata last miaka 2 akiwa kwenye fomu.
Na mengine mengi mkuu
Kwa mfano na Mimi niki draw hitimsho yangu kuwa jamaa ameogopa kuja EPL kwa kuwa ni ligi ngumu lakini pia ameona na umri wake ni mkubwa kwa hiyo aki take risk ya kuja EPL na ikamshinda atastaafu vibaya nitakuwa nimekoseaa?
 
Dirisha la usajili EPL nasikia mwisho ni kesho au nimekosea ?
 
Back
Top Bottom