Donald Trump Alikosea Kuwaita Waafrika Pekee Kuwa Ni Shithole!! Ukweli Ni Kwamba Media za Kiengereza Ndiyo Shithole.
Media Za Kiengereza Kwenye World Cup Walijaribu Kuwaaminisha Watu Kuwa Maguire Ni World Class na Ni Beki Bora Duniani! Wakamfanyia Promo na Kumpandisha thamani Kutoka £20m mpaka sasa £70m Kwa Muda Wa Wiki moja tu.
Vilevile Walitaka Kutuaminisha Kuwa Henderson Ni Bonge la Midfielder ndani ya World Cup.
Pia Wakataka Kutuaminisha Kuwa Trippier Ni Bonge la Chezaji.
Mchezaji Pekee Ambaye Walimu-Underrate Ni Sterling Kwasababu Hawampendi tu.
Media Za Kiengereza ukizembea Kidogo tu Zinakuingiza Chaka Kwani Wachezaji Wenye Uwezo Kina Hazard, De Bruyne, Pogba wapo Na Haziwafanyii Promo. Badala Yake Wanawafanyia Promo Magarasa Ya Kiengereza Kina Delle Alli, Maguire, Henderson, Lingard n.k.