Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu sidhani kama ni sahihi kusema Mou alichukua ubingwa kwa zari. Mara zote alizo beba ubingwa Chelsea walikuwa na timu nzuri.
Kwa ishu ya Madrid ni kweli kuwa Mourinho hakufikia expectations. Lakini kumbuka aliikuta Madrid ambayo UEFA ilikuwa inaishia 16, lakini kwa misimu mitatu yote aliyo kuwepo wametolewa kwenye nusu fainali au robo fainali (Mara mbili katolewa na Barca nzuri na yenye figisu na Mara moja katolewa na Borutia). Katika misimu mitatu hiyo alichukua kombe moja la ligi kwa historia ya kufunga magoli Mengi zaidi.
Na lazima tukubali kuwa kwenye ligi alikuwa anachuana na Barcelona ambayo kwa wakati ule ilikuwa ndio timu bora na bado ilikuwa imekaa kwa muda mrefu.
Kukaa kwa wachezaji muda mrefu kuna faida yake kubwa sana kufukuza makocha hamna faida lazima aje na utaratibu wake mnaaanza upya tukomae nae tu mzuiaji hadi atapata majitu yake
 
Kukaa kwa wachezaji muda mrefu kuna faida yake kubwa sana kufukuza makocha hamna faida lazima aje na utaratibu wake mnaaanza upya tukomae nae tu mzuiaji hadi atapata majitu yake
Mpaka saizi bado naamini Mourinho ndio mtu sahihi wa kutuvusha tulipo ganda. Naona bodi ndio haimpi sapoti ya kutosha.
 
Dirisha la usajili EPL nasikia mwisho ni kesho au nimekosea ?
kama sijajichanganya nadhani timu za EPL mwisho wao kusajili ni kesho. Japo timu za nchi nyingine zinaweza kusajili mchezaji kutoka EPL hadi tarehe 31.
 
Ngoja tukubali kutokukubaliana kwenye hili la kocha wetu radika na johnmweusi .
Ila hatua tunayopiga kuelekea kuimarika chini ya kocha wetu ni ndogo mno na haina hadhi ya klabu yetu hata kidogo.
Tuombe uzima maana baada ya mechi tano hivi za mwanzo tutaona uhalisia wa mou.
 
Man Utd transfer news: Paul Pogba sends text to team-mates amid Barcelona speculation
MANCHESTER UNITED midfielder Paul Pogba has reportedly messaged his team-mates amid speculation he will leave the club.
By JOSHUA PECK
05:40, Wed, Aug 8, 2018 | UPDATED: 07:37, Wed, Aug 8, 20
 
Hapo sawa. Tuache ligi ianze, tuone tutavuna nini, hapo tutakuwa na majibu sahihi. Japo game 5 zinaweza kuwa chache lakini at least tutakuwa tumepata picha kidogo ya timu yetu.
 
Alivyokuwa MUFC alikuwa anapondwa sana,utashangaa akiwa Barcelona atasifiwa na waliomponda sana.
 
Ngoja tukubali kutokukubaliana kwenye hili la kocha wetu radika na johnmweusi .
Ila hatua tunayopiga kuelekea kuimarika chini ya kocha wetu ni ndogo mno na haina hadhi ya klabu yetu hata kidogo.
Tuombe uzima maana baada ya mechi tano hivi za mwanzo tutaona uhalisia wa mou.
Mkuu naamini toka msimu ulioisha angapeta wachezaji aliokuwa akiwataka leo ingekuwa story tofaut kwa mfano kwa sasa aliomba wachezaji wa tano wakwendana na mfumo wake kapata mmoja tu kocha anajitahidi sana pep kafukuza timu nzima nakuweka timu nzima ya mfumo wake nini kinatokea?
 
Man Utd transfer news: Paul Pogba sends text to team-mates amid Barcelona speculation
MANCHESTER UNITED midfielder Paul Pogba has reportedly messaged his team-mates amid speculation he will leave the club.
By JOSHUA PECK
05:40, Wed, Aug 8, 2018 | UPDATED: 07:37, Wed, Aug 8, 20
Pogba anataka mshahara tu na agent wake apige pesa ni muda wa kuwazoesha wakina perreira sasa kukaza
 
Man united iko kwenye renki sawa na real madrid kwenye misuli ya kifedha na pengine tunawapita kidogo. Madrid/Barcelona wamebadili makocha wengi tena kwa vipindi vifupi vifupi ila hawakutetereka kwa kiasi tulichofikia sisi.
Hawajawahi kuwa na kocha aliyekaa miaka 20+
Na kama issue ni kubadilisha makocha Since SAF ameondoka Mourinho ni kocha wa 4 ndani ya miaka 5
 
Kwa mfano na Mimi niki draw hitimsho yangu kuwa jamaa ameogopa kuja EPL kwa kuwa ni ligi ngumu lakini pia ameona na umri wake ni mkubwa kwa hiyo aki take risk ya kuja EPL na ikamshinda atastaafu vibaya nitakuwa nimekoseaa?
Na Boateng alishacheza premier league akachemsha the best option kwa wachezaji wa umri wake ni kwenda PSG au Serie A
 
Alivyokuwa MUFC alikuwa anapondwa sana,utashangaa akiwa Barcelona atasifiwa na waliomponda sana.
The guy is Dumb and clueless coach ever seen under united umbrella. Nothing more should be expected from him in this season.

Like any other could do, Can You take your Money onto A business causing trouble loss?? No.

Mou has failed to utilize even those few Unite spent Millions of £ for transfer. It has been rumored Rojo can Be brought into Market before window closure. He sold Miky. Now There are some gazebos waves to pogba's leave.

Can we still dump united moniiiiii to such a destroyfull and useless coach ???

Please Mr CEO, Ed ignore any of transfer request under mou until he leaves. Become The hesitant to all his cheques.
 
Jerome Boateng rejected a move to Manchester United because he felt the club can’t compete for major trophies this season. [sky sports news]
 
Jerome Boateng rejected a move to Manchester United because he felt the club can’t compete for major trophies this season. [sky sports news]
Why he want to leave Bayern where he is in better position to compete for those major trophies?
 
Jerome Boateng rejected a move to Manchester United because he felt the club can’t compete for major trophies this season. [sky sports news]

Hili linaeleweka sema tunajitia upofu,playing style yetu haiwavutii wachezaji wenye majina makubwa pale.
 
Hawajawahi kuwa na kocha aliyekaa miaka 20+
Na kama issue ni kubadilisha makocha Since SAF ameondoka Mourinho ni kocha wa 4 ndani ya miaka 5

Tangu pep mwenye mafanikio awaache,huyu ni kocha wa 3 lakini wanashindania makombe na sio top 4 au kushiriki eufa tu
 
Back
Top Bottom