Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

721afde7-232a-4136-af6e-174a3c1aa71c.jpg

Walete beinsport
 
Jose mzee wa kusajili vibabu hana lolote zaidi ya kupaki bus.

Kwanini mpo hapa kwenye thread hii ikiwa nyinyi si shabiki wa UNITED.? Huwa siwaelewi watu kama nyinyi, sikuwahi kwenda kwa thread ya timu nisizo support. Alafu mbaya zaidi lengo lenu hua ni kuibua marumbano yasiyo maana. Acheni hizo!
 
Usimamizi wa mazoezi ulianza mwaka wa meisho alipokua Chelsea. Sasa na nyie mkamchukua kama alivyo.
Makombe aliyopata mourinho mwaka mmoja man u ni mengi kushinda iliyopata timu kama Arsenal na Liverpool miaka kama 10 iliopita.

Liver na Arsenal watakuwa makocha wao ni waokota mipira kabisa kwa hii logic
 
kuna watu humu wana chuki kubwa sana na Mou.
lakini hawajipi hata nafasi ya kujiuliza baadhi ya mambo madogo madogo.
Mourinho so far ameimprove timu kwa kiwango kikubwa licha ya kutofikia matarajio ya wengi!
mnapotaka kuilinganisha man u na man city lazima pia muwe fair, man city hawajaamka na kufika hapo walipo. huyu huyu pep anaesifiwa na wengi humu muulizeni alifanya nini bayern! man city imekuwepo top four for almost miaka minne mfululizo, imechukua ubingwa, na bado amekuja kuisafisha jumla ya wachezaji karibu ishirini na kitu wamesajiliwa ukilinganisha na tisa aliosajili Mourinho.
tunataka mafanikio ya kulala na kuamka kitu ambacho ni vigumu sana.
leo tunataka aondoke Mou, trust me hata huyo Zizzou atafeli tu pale man u kwa ustaarabu huu, nyie mnaangalia mafanikio yake UEFA but hamjiulizi tangu amefika amesajili wachezaji wangapi? he was very lucky amekuta timu ipo vizuri most players wako kwenye pick performance bale, benzema, ronaldo,casemiro,modric kitu ambacho tunapaswa ni kuwa na subira the next coach atakuja kuwakuta kina pogba, fred, rashford, diogo, lindelof, bailly tayari wameshatengeneza mfumo mzuri inakuwa simple kuwa mshindani.
msimu wa kwanza mou alikua na timu ya kawaida sana na majeruhi walikuwa wengi kuelekea mwisho wa msimu but still alitupa makombe, kwa wachezaji wale wale ukimpa pep hafiki nao popote!
lets try to appreciate even the little things our coach is trying.
huu msimu mou haondoki and I bet tutafanya vizuri sana
 
JM mbinu zake mnaziona nzuri kwa last season kwa sababu vigogo wengi walikua hovyo ila kama usipofanyika usajili wa beki au natural winga basi ubingwa tusahau labda top 4

kwa hiyo msimu huu vigogo wapo vizuri? yani mtu unatoa maoni kwa mechi za pre season!!!! miaka ambayo van gal anabeba makombe ya icc tulikuwa na timu imara? kwa post hii mkuu itoshe kusema unaongozwa na chuki kwa kocha na mkumbo ila kwa mtu wa soka hii post ni shida.
 
Makombe aliyopata mourinho mwaka mmoja man u ni mengi kushinda iliyopata timu kama Arsenal na Liverpool miaka kama 10 iliopita.

Liver na Arsenal watakuwa makocha wao ni waokota mipira kabisa kwa hii logic

Lakini Huyo uliyomQuote Ni Mshabiki Wa Chelsea! Kwahiyo Kuzi-attack Arsenal na Liverpool Hakujaathiri Kile Anachokiamini.
 
Jose mzee wa kusajili vibabu hana lolote zaidi ya kupaki bus.
tatizo kupaki bus au matokeo??

Lukaku, Pogba, Dalot, Fred wote hawa mababu kipindi kile akina Shweinsteiger wananuzwa ndio nyie mlikuwa mkiponda hivi mnataka nini hasa??

kazi ya shabiki ni kuzomea na kushangilia mambo ya usajili iachie board....JM atawanyamazisha this season.

GGMU
 
Kwanini mpo hapa kwenye thread hii ikiwa nyinyi si shabiki wa UNITED.? Huwa siwaelewi watu kama nyinyi, sikuwahi kwenda kwa thread ya timu nisizo support. Alafu mbaya zaidi lengo lenu hua ni kuibua marumbano yasiyo maana. Acheni hizo!
Sasa mnataka muwepo wenyewe muwe mnadanganya.? Mkiambiwa ukweli mnasema tunaleta malumbano. Mbona wapo wa humu tunawakuta kwenye thread zetu. Raha ya ushabiki mkutane tofauti kubadilishana mawazo sasa mkiwa wenyewe kila atakachosema radika na wewe utaishia kukubali tu.

We kama hauji kwetu enjoy comments tu. Tunajuana humu.
 
Makombe aliyopata mourinho mwaka mmoja man u ni mengi kushinda iliyopata timu kama Arsenal na Liverpool miaka kama 10 iliopita.

Liver na Arsenal watakuwa makocha wao ni waokota mipira kabisa kwa hii logic
Mi naongea na wewe. Unaanza kuwasema watu. Shauri zako mkuu. Sitaki ugomvi.

Yaan kumbe kuna makocha waokota mipira.
 
Barcelona wanataka kutupa Rakitic na Dembele,ili wamchukue Pogba.
 
Exclusive: @JB17Official Jerome Boateng called José Mourinho to tell him personally that he is grateful for the interest, but he won’t come to Manchester. No Transfer to manutd @SPORTBILD @BILD_Sport
 
Sasa huo msimu wa mwisho ndio alianza usimamizi wa mazoezi. Hata akitoka kapa inaonekana kuna kitu umefanya
Sasa wewe unaumia nini wakati unajua mourinho anasimamia mazoezi? Bila msimamia mazoezi hamna chelsea lasivyo mngekuwa kama aston villa tu alishasema atokee wa kufuta historia yake ndipo mpanue mdomo mmesajili kocha katupa europa na nafasi ya 6 mkacheze na wakina astana msimamia mazoez yule uefa champions
 
Back
Top Bottom