Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Matatizo yana mwisho mkuu. Naelewa hali uliyonayo kwa sasa. Jitahidi upate muda wa peke ako upunguze stress.
Yani wewe chelsea mwenye timu mbovu wakumpa ushaur nani hapa mshabik wa city angalau ila wewe ambae wachezaj wanakataa kurudi bora ukae kimya tu ushapigwa na pep bado klopp na mourinho
 
Ndio nishakushauri sasa. Unahitaji meditation mkuu.
 
Mkuu ukiachana na Coutois nitajie mwingine. Kinachotokea kwqngu ndicho kinacho tokea kwako (Martial). Kweli nyani haoni kundu lake.
Ndo mana mwanzo nikasema mm na ww tupo daraja moja timu zote mbili zinawachezaji wa kawaida sana jukwaa hili na lenu watu wengi hawapend kusikia hili
 
Sasa hivi ndio umekubali mara ya kwanza ulikua unakataa. Mpaka ukafikia kuwaita kina Hazard matakataka. Siyo wewe.?
 
Soma post ya mwanzo nilikwambia hata wewe huna timu ila wewe ukaniambia unatimu nikakwambia mbona huko kuna takataka kibao?
 
Mourinho anacheza mpira mbovu..licha ya kutokubeba kombe kwa liverpool,huwezi kuilinganisha liverpool na man u yetu interms of mpira wa kuvutia,team intergration,manager passion,na kuwafanya average player wacheze kwenye standard za juu

Lindelof alichoma gemu mbili,mourinho akakata naye tamaa..ila yule beki mbili wa liver,pamoja na kumpa rashford magoli mawili kwenye ile gemu ya OT,klopp bado alimpa nafasi kwenye fainali ya Uefa..the way jose mourinho anavyowatreat wachezaji mimi ndo simwelewi kabisa..hope msimu huu utakuwa wa mwisho kwake
unataka mpira wa kuvutia au mataji??
 
Jose Mourinho ana weakness zake as a person/coach ambazo kila binadamu anazo but anapewa lawama zote za matatizo ya Manchester United.Watu hawaoni matatizo ya bodi ya Manchester United jinsi wanavyoendesha klabu ukilinganisha na financial stability waliyonayo,pia hatuoni poor attitude na commitment za wachezaji wanaoichezea United ulikinganisha na enzi za SAF ni wachache sana wangeweza kucheza kwenye timu yake,I still believe now Evra,Fletcher,Park wanaweza kuonyesha commitment nzuri kuchezea United ukilinganisha na wachezaji wengi tulio nao sasa.

Mourinho may be not the right man for United but he the most successfully manager post SAF era statistics never lie but liars use statistics.Ed may sack Jose but nobody is sure the next coach will fix United problem or the cycle will continue (give new coach 3 year contract then sack him after 2nd year)

On his farewell speech at Old Trafford SAF said "I'd also like to remind you that when we had bad times here, the club stood by me, all my staff stood by me, the players stood by me. Your job now is to stand by our new manager. That is important.
 
Mi kitu kinachonifanya niwe upande wa kocha anatoa mapendekezo yake mapema sana tena anaonesha zile sehem ambazo timu inatatizo ed woordward yupo kimya toka mwez wa tano kama anajua kocha hafai kwa nini kamaucha hadi muda huu? Haya mwaka jana kaomba wachezaj wa nne kapata wawili mwaka huu watano kapata mmona hivi ukijiuliza bodi inania njema na timu kweli?

Mourinho alisama matokeo mabovu na mchezo wa hovyo lawama huwa kwake si kwa ceo wa united kwa nini hakamilish jukum lake la uwanjani mwez wote huu ceo yupo bize kusaini mikataba ya kibiashara sio uwanjani tena utaona kesho purukusha zake hata martial alisajiliwa siku ya mwisho ukaanza kuitwa usajili wa kupanic
 
Hatari
Screenshot_20180808-215400.jpg
 
Back
Top Bottom