Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Litafungwa saa 23;59 kwa muda wa Uingereza kama sijakoseaSo dirisha lishafugwa?
Litafungwa saa 23;59 kwa muda wa Uingereza kama sijakoseaSo dirisha lishafugwa?
Lishafugwa saa 5pm kwa muda wa uingereza.Litafungwa saa 23;59 kwa muda wa Uingereza kama sijakosea
Litafungwa saa 23;59 kwa muda wa Uingereza kama sijakosea
Litafungwa saa 23;59 kwa muda wa Uingereza kama sijakosea
Sawa mkuuLimefungwa 1700hrs UK time
Nimekuelewa mkuuLishafugwa saa 5pm kwa muda wa uingereza.
announcements inaruhusiwa mpaka 7pm. Ngoja tuone mambo yataendaje, WE ARE READY japokuwa kocha hana matumaini yoyote, zaidi ya kupata tabu sana.
GGMU
Kwa Courtois kwenda Madrid, sasa De Gea ataozea Manutd.
Ameshatumia pesa nyingi pasipo akili naona wameamua kumuacha ajifunze kutumia walionunuliwa nayeye mwenyewe last seasonNi dhahiri kabisa Man u na board vimedhamiria kumfelisha Mou ili afukuzwe aletwe Zizzou......ok Mourinho anamapungufu meng katika playing styles lakin miaka yote deadline day Man u huwa tunatawala
Van gal alimleta falcao siku ya mwisho kuonesha kuwa board iliamua kuwekeza but safari hii malengo ya board na malengo ya coach ni tofauti.......
Kunachosubiriwa ni Mku afeli top 4 tumlete coach mpya.....
Mou anamatatizo ila yulr Ed woodward ni Mbwa amefanya umafia sana
Mensah bonge la beki..kawasaidia sana crystal palaceNaona Mourinho kamtoa kwa Mkopo Fossue Mensah na wakati huo huo anataka hela za kusajili mabeki.
Hapa Hatuna Kocha. Msimu huu nimejiandaa kisaikolojia nitatumia weekend zangu kujisomea vitabu.
Hapo aya ya pili na ya tatu kwa mshabiki Wa Man U anayaependa kweli hii timu lazima akubaliane na jamaa kwa asilimia mia moja. Tunataka mpira Wa kufurahisha, hasa kushambulia zaidi na kupata matokeo. Siyo tunapata kagoli kamoja dhidi ya hull city hafu tunarudi nyuma woteScholes KafungukaView attachment 830570
Si Li-Kocha la hovyo,Mensah bonge la beki..kawasaidia sana crystal palace
Mourinho mbinu zake zimepitwa na wakati,anapaswa abadilike na acheze mfumo Wa kushambulia zaidi na kusuka ulinzi mzuri na muuanganiko mzuri kati ya kiungo na ushambuliziHiyo united ya 92 haitorudi kamwe! Ni kama barca ya kina xavi inniesta nk haitorudi kamwe! Ondoa hayo mawazo mgando na potofu akilini mwako dunia inasonga mbele hairudi nyuma.
Ninachokiona mashabiki wengi mna wishful thinking!
Mnawaza vitu ideal sana, no reality mnapotezana sana humu