xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,918
Ujinga gani wa mourinho?Akili ndogo sana hii, yaani kwa mechi hii moja ujinga wote wa Mou ufutike. Jitahidi kufikiri kwa mapana zaidi.
Ujinga gani wa mourinho?Akili ndogo sana hii, yaani kwa mechi hii moja ujinga wote wa Mou ufutike. Jitahidi kufikiri kwa mapana zaidi.
Tofauti ya mourinho na klopp, mourinho uki m criticize anakupa kombe, klopp uki m criticize anawaambia wachezaji wake wakimbie kimbie ana maliza msimu trophy less, huku mkimuita geniusMourinho Ni Genius! Pale [HASHTAG]#MouOut[/HASHTAG] goes viral, Anachomoka na ushindi from nowhere to overcomes criticisms zote.
The real definition of special one.First time since 2010-11 Manchester United have won against every single opposition in a Premier League season.
![]()
Hamna bek ghali aliyecheza janaZile beki ghali mno, lakini zimenunuliwa kwa ajili ya kushambulia tuu...![]()
![]()
Anawatumia salamu wale wanamsemaga hapa mi mourinho nnaiman nae sana japo kuna muda nae anakengeuka ila timu iliyotaka kufa ilimhitaji huyu mtu madrid wenyewe walihangaika sana jamaa aliwatoa shimon tena mbele ya barcelona kali mno binadamu huwa wepes wa kusahauFirst time since 2010-11 Manchester United have won against every single opposition in a Premier League season.
![]()
Unaandika kwa woga kaa chonjo angalia msimamo kuna kijitu kinaitwa burnley nafas ya 7 inakuhusuMou İN
Hazard alicheza namba 9 et hata tungecheza siku tatu tusingeshinda pale tulia ushakazwa hom na kwake mzee wa misibaHahaa... Utd fans always like this. You will compete not with Mou. With Mou you will pollute.
Punguza muhemuko kijana. Ulichoandika hakiendana na comment yangu.Hazard alicheza namba 9 et hata tungecheza siku tatu tusingeshinda pale tulia ushakazwa hom na kwake mzee wa misiba
Haijalish ili mradi unatokea mtaa ulePunguza muhemuko kijana. Ulichoandika hakiendana na comment yangu.
Tofauti ya mourinho na klopp, mourinho uki m criticize anakupa kombe, klopp uki m criticize anawaambia wachezaji wake wakimbie kimbie ana maliza msimu trophy less, huku mkimuita genius
Kweli kabisa.Kama utakumbuka mechi ya kwanza "tuliwalaumu" Utd kwa kutokuwashambulia City, Beki ya Man City ninahisi ukiwashambulia muda mrefu / wote kuna uwezo mkubwa ukawafunga
Okay. Now write again without tears on your eyes i.e. without crying boy..Hahaa... Utd fans always like this. You will compete not with Mou. With Mou you will pollute.
kipindi Barcelona wanafungwa 7 na bayern mechi ya kwanza 4-0 na mechi ya pili 3-0 hakuwa kocha huyu? au wanamaanisha all competition.
Hapana hakua huyu alikua marehemu Tito vilanovakipindi Barcelona wanafungwa 7 na bayern mechi ya kwanza 4-0 na mechi ya pili 3-0 hakuwa kocha huyu? au wanamaanisha all competition.
upo sahihi my mistakeHapana hakua huyu alikua marehemu Tito vilanova
Otamendi? na hata Danilo bei yake si ndogo karibia 30mHamna bek ghali aliyecheza jana
Kwema kabisa kaka sijui weweKwema bibie?