Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester kama sisiemu, haipendwi na wengi ila inaashinda.
Wanaoichukia Manu ni wengi zaidi ya wanayoipenda: Arsenal+Chelsea+liver+Mancity etc.
Sasa mbona ndo club yenye mashabiki duniani na yenye mauzo makubwa au una maana gani
 
Tetesi

Mshambulizi wa Manchester United Jesse Lingard, 25, atapata mkataba mpya huko Old Trafford miezi 11 baada ya kusaini mkatataba ulioboreshwa. (Sunday Star)

Manchester United wana mpango wa kumtafuta beki wa Juventus Mbrazil Alex Sandro, 27, msimu ya joto. (Sunday People)
 
Sasa mbona ndo club yenye mashabiki duniani na yenye mauzo makubwa au una maana gani
inawezekana mkuu kimahesabu,nakutolea mfano Man utd mashabiki 60,000 ya pili Arsenal 30,000 ya tatu Liver 18,000,ya nne Chelsea 14,000 na ya tano Man City mashabiki 500 ukijumlisha hao mashabiki wa timu nyinginezo kwa pamoja unapata 62,500 watakuwa kwa pamoja wameipita Man Utd lakini Man Utd anawaongoza kwa mbali tu!!huo ni mfano lakini unaonyesha alichokisema jamaa iinawezekana
 
Safi awa ndo watu waku argue namm

Galaxy s90
 
Nikweli mkuu sasa iyo itakuwa pale tuu ambapo club zngine pia hazina maadau lkn kama wapo na ukawatoa wale wachache wanao ikubali automatically man u atabakiw na wapenz wengi

Galaxy s90
 
FB_IMG_1520842340583.jpg
😀😀😀
 
Nemanja Matic has revealed it’s a joy to play next to Manchester United young midfielder Scott McTominay.

“Scott is fantastic,” Matic said.

“It is a joy to play next to him. He fights for the team, he runs a lot.

“He plays like he already played five or six years in the Premier League, but he’s still young.

“He’s fantastic. He was one of the best players on the pitch, so I am happy that we have him in the team, and he needs to continue in this way.”
 
Back
Top Bottom