Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ukweli mtupu
 
Kila Mwezi mchezaji bora wa club tuzo inaenda kwa Kipa (De gea)

Inaonyesha ni jinsi gani timu ilivo na idara mbovu ya ulinzi,ushambuliaj na kiungo.

Timu inabebwa na saves za kipa
 
Hata mkisema sijui tusubiri Next Season Hakuna jipya Falsafa na Mfumo wenu nihuo huo hautabadilika labda mfukuze Kocha Mlianza kupaki Bus kwenye Big Match sasa hivi mpaka Mechi ndogo niBus Inaonekana hii tabia imepea kama ngozi ya Kenge
 
Kila Mwezi mchezaji bora wa club tuzo inaenda kwa Kipa (De gea)

Inaonyesha ni jinsi gani timu ilivo na idara mbovu ya ulinzi,ushambuliaj na kiungo.

Timu inabebwa na saves za kipa
Umenena vema ndugu
 
Wiki hii mou ataisoma namba hakyanan!!! kila mtu atamponda!!

Gemu ya leo imefunika ushindi wetu kwa liva!!
 
Mjipange kukutana na sisi mtaa wa 6 msimu ujao

Naona leo unafuraha SANA kuliko siku ambayo Eagles iliifunga Patriots

Nafasi ya 6? mkuu utani huo, huoni huo mlima wa tofauti ya points zilizopo hapo kati ya mtu wa 2 na wa 6

Naona leo mpaka Malafyale kaibuka, kweli Utd inafuatiliwa sana hapa Duniani

*Tofauti ya mtu wa 6 na wa 7 ni points 3, halafu wa 7 yupo vizuri sana
 

Mm muungwana
Mekuja kuwafariji
Poleni sana
Ndiyo soka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…