Mourinho cjui yakoje bhana. Huwa ana tabia ya kujaribisha wachezaji kwenye mechi kubwaHivi unamuanzishaje Fellaini wakati mtu kama Mctominay yupo nje? Pogba yupo nje, Mata yupo nje?....
Ndo umejua leo?Waungwana huyu Sanchez kama tumepigwa vile....
Kocha ana hesabu zake mkuu angalia game bado haijaishaHivi unamuanzishaje Fellaini wakati mtu kama Mctominay yupo nje? Pogba yupo nje, Mata yupo nje?....
Sure acha tuone 2 halfKocha ana hesabu zake mkuu angalia game bado haijaisha
Lukaku sanchez sioni wanafanya nn kaz kupoteza chances.wasenge wakubwa
Kiukweli amemchosha tu Felain. Hakabi...hatokei rebounce za lukaku...kwenye kushoot anatoa pasi mbovu. In short ndio anapunguza speed na kumuharibia lukakuWaungwana huyu Sanchez kama tumepigwa vile....
Mkuu una akili sana...Mata alitakiwa kuanza hii gemu