Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Ila aina ya mpira wa man ni aibu.Liver sio wa kutuchezea vile ni aibu hata kama tumeshinda
Liverpool wamecheza nini?
Ila aina ya mpira wa man ni aibu.Liver sio wa kutuchezea vile ni aibu hata kama tumeshinda
Kwasababu hata ccm wanaichukia chadema.Mkuu Hapa Hujaongea Kitu!!!
√ Wanaoichukia Arsenal ni Man U+Liver+Chelsea+ManCity.
√ Wanaoichukia ManCity ni Liver+Arsenal+Chelsea+ManUnited
√ Wanaoichukia Liverpool ni Man U+Arsenal+Chelsea+ManCity
√ Wanaoichukia Chelsea ni Liverpool+Man U+Arsenal+ManCity
So, Post yako ni meaningless..
Ulitaka mpaka afunge goli ?Mkuu wala sibishi kwa hilo..
ila Tommy nayeye awasubiri Chelsea Ndiyo aoneshe Mpira Wake Wa Kitoto.
mkuu umeangalia mechi hii hii nilioangalia mimi?Hakucheza Vizuri Kuanzia uwanjani Mpaka Kwenye Stats pia hayupo Vizuri.
The thing is, United wamewafumua kuliko mlivyotegemea usilete comparisons za kueleweka kwasababu hata huyo mungu mdogo salah was rubbish today.Hakucheza Vizuri Kuanzia uwanjani Mpaka Kwenye Stats pia hayupo Vizuri.
Ubao ndugu kama liverpool wamemuajir kocha kwa ajili ya mpira wa pasi nyingi watamfutie mashindano yake pale ni point na kabatini kuna nini kwangu mimi safi kwa kuwa kocha kaikuta timu dhaifu sana msimu wa kwanza kashinda mataj sasa anatengeneza timu yenye nguvu wakat klopp hata carabao hawajwah kulugusa.Ila aina ya mpira wa man ni aibu.Liver sio wa kutuchezea vile ni aibu hata kama tumeshinda
Soma tena nilichoandika kuhusu wingi wa mashabiki.Umekosea kuifananisha na CCM Manchester united ndiyo team yenye mashabiki wengi duniani
Atakuja jogoo lilishinda.Malafyale amezimia mpaka sasa hahahhahahahaha
Huyo ameshafungwa.mkuu umeangalia mechi hii hii nilioangalia mimi?
site nyingi zinamsifu mc tominay kwa kucheza vizuri na amepata ratings kubwa kushinda mechi ya chelsea
https://www.whoscored.com/Players/336915/Show/Scott-McTominay
Manchester United player ratings: Marcus Rashford and Romelu Lukaku superb
nae ni top scorer kama salah?No Doubt Salah Leo Amefichwa Kiasa Ya Kwamba Satats Zake Zinaonesha Kila Kitu ni 0%.
Lakini What about Alexis Sanchez Mbona Mumemsahau? Manake nayeye Kapotelea Mwananyamala!!!
Sanchez
2 Key Passes
1 Big chance createdView attachment 710576
Salah
1 Key PassView attachment 710577
Una roho ngumu wewe HAHAHAAAA, hivi aliekiharibu kiungo chenu kipindi cha kwanza ni nani? Hahahaaaa we jamaa wewe
Dimba lipi alilodhibiti while Rashford kafunga magoli 2 ?Viungo Wetu Hawajapotea Hata Kipindi Kimoja Kwani Emre Can Amefanikiwa Kuzibiti Dimba
Kwa umr wa scott na alichokifanya mbele ya wachezaji wozoef anatakiwa kupongezwa mno hadi ox anatolewa ujue hali ilikuwa tete katkat uongo mbaya ox na can walicheza vizur sana mech yenu na city ila kwa leo big no matic na scott walikuwa vizur sana mlikuwa mnalazimika kupitia pembeniViungo Wetu Hawajapotea Hata Kipindi Kimoja Kwani Emre Can Amefanikiwa Kuzibiti Dimba
Wao wamechezesha 3 midfield(Can,Ox& Milner) while United walikuwa Matic na Scott lakini hakuna walichofanya na alipoingia Fellaini ndio mchezo ukaisha kabisaKwa umr wa scott na alichokifanya mbele ya wachezaji wozoef anatakiwa kupongezwa mno hadi ox anatolewa ujue hali ilikuwa tete katkat uongo mbaya ox na can walicheza vizur sana mech yenu na city ila kwa leo big no matic na scott walikuwa vizur sana mlikuwa mnalazimika kupitia pembeni
Siku ya city liva walikuwa na viungo watatu akiwepo yule anaevaa jersey namba tano. Wondje...jina lake gumuKwa umr wa scott na alichokifanya mbele ya wachezaji wozoef anatakiwa kupongezwa mno hadi ox anatolewa ujue hali ilikuwa tete katkat uongo mbaya ox na can walicheza vizur sana mech yenu na city ila kwa leo big no matic na scott walikuwa vizur sana mlikuwa mnalazimika kupitia pembeni
Jamaa kashindwa kutambua ukiangalia hata umr na udhoef alionao scott lakin alikuwa mtulivu anapokea mipira na kutawanya kama amecheza zaid ya mech 15 za epl tena againt big teamsWao wamechezesha 3 midfield(Can,Ox& Milner) while United walikuwa Matic na Scott lakini hakuna walichofanya na alipoingia Fellaini ndio mchezo ukaisha kabisa
Rudi kamuulize tena ana kasi akikutana na nani au akikutana na ndanda fcNilisikia Liverpool wana high pressing game na speed sana. Mbona sijaiona leo?


