radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Itoshe kusema pep anabahat tu pale ot siku zote mourinho hom ground sio mtu mzurTatizo lenu ndo hilo. Watu leo mnapigwa alafu wew unaona ushindi mkubwa. Pole yako jani yangu.
Itoshe kusema pep anabahat tu pale ot siku zote mourinho hom ground sio mtu mzurTatizo lenu ndo hilo. Watu leo mnapigwa alafu wew unaona ushindi mkubwa. Pole yako jani yangu.
You're missed...badlyKhooooookhoo
Hongela kwa ushindi
Unajua venye huwa natingwa na majukumu.You're missed...badly
Faza fazaaa.....
Hiyo soup uniwekeee bwana. Unajua vile napenda jogooooUnajua venye huwa natingwa na majukumu.
Ninayo Furaha kuwa hapa tena
Awasubulie wakina man city na arsenal kawakuta wakina mane na filminho hawajah kufunga goli ile safu yote ya liver ya mbeleKipindi cha kwanza kweli Man U wametumia vizuri sana nafasi walizopata, Salah haonekani kabisa.....mpira hauna adabu , hauna cha kukalili ukadhani kila game litakuwa kama la jana.
Asante sana.Hongela kwa ushindi
Niambie kakaFaza fazaaa.....
Tena wewe baba la baba lazima nikufichie paja maana Eva na sister hawaji so nahisi jikoni nitakuwa mwenyeweHiyo soup uniwekeee bwana. Unajua vile napenda jogoooo
Tumemzidi arsenal point 20 na bado wanakuja OT nawahurumia sana![]()
That is great. Uje na Mo Salah.....maaana hajaonekana kabisaTena wewe baba la baba lazima nikufichie paja maana Eva na sister hawaji so nahisi jikoni nitakuwa mwenyewe
Huyu hapa kapatikanaThat is great. Uje na Mo Salah.....maaana hajaonekana kabisa
Akuuu hahahahha sikuhizi nimekuwa wakiume Mimi siyo msichana tena tangu 1.1/2018
Akuuu hahahahha sikuhizi nimekuwa wakiume Mimi siyo msichana tena tangu 1.1/2018