sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Malafyale amezimia mpaka sasa hahahhahahahahaDepay unamkana sasa? itabidi vyuma vilegee kidogo
Hongera kwa ushindi waa leo, tunasubilia Malafyale amalizie kupika supu ya jogoo wetu tuanze weekend
Akuuu hahahahha sikuhizi nimekuwa wakiume Mimi siyo msichana tena tangu 1.1/2018
Shikamoo mourinyoAwasubulie wakina man city na arsenal kawakuta wakina mane na filminho hawajah kufunga goli ile safu yote ya liver ya mbele
Umekosea kuifananisha na CCM Manchester united ndiyo team yenye mashabiki wengi dunianiManchester kama sisiemu, haipendwi na wengi ila inaashinda.
Wanaoichukia Manu ni wengi zaidi ya wanayoipenda: Arsenal+Chelsea+liver+Mancity etc.
Kamuulize J.Kloop kama amepata points ngapi baada ya kucheza mpira wa kufurahisha OT leo, alafu kamuulize JM kwanini kapata points tatu licha ya mpira wa aibu (kwa mujibu wako).Ila aina ya mpira wa man ni aibu.Liver sio wa kutuchezea vile ni aibu hata kama tumeshinda
Duh, huyu jamaa atakuwa mchawi
Naonga mkonyo hoja.Simpendi mourinho lakini kwenye big games kama hizi...nampa 75% ya ushindi...anafanya homework yake nyema kabisa...anaisoma timu pinzani mpaka boxer wanazovaa na anazikaba..kama huamini muulize salah.
Huyo ndo master tactician.
Maneno ya shabiki wa Liverpool.
Nilisikia Liverpool wana high pressing game na speed sana. Mbona sijaiona leo?
No Doubt Salah Leo Amefichwa Kiasa Ya Kwamba Satats Zake Zinaonesha Kila Kitu ni 0%.
Lakini What about Alexis Sanchez Mbona Mumemsahau? Manake nayeye Kapotelea Mwananyamala!!!
Mkuu Hapa Hujaongea Kitu!!!
√ Wanaoichukia Arsenal ni Man U+Liver+Chelsea+ManCity.
√ Wanaoichukia ManCity ni Liver+Arsenal+Chelsea+ManUnited
√ Wanaoichukia Liverpool ni Man U+Arsenal+Chelsea+ManCity
√ Wanaoichukia Chelsea ni Liverpool+Man U+Arsenal+ManCity
So, Post yako ni meaningless..
Hizo stats zimekupa point ngapi kwenye table?I think Ni Upofu Ndiyo uliokufanya usione coz umeshinda Mchezo!!
Lakini Nikikwambia Ueke Stats Za Mchezo sijui Kama Hutobishana Na Stats Zako.
Tumewatawala Kila Sehemu...
Lakini Point ni Kwamba Ukweli Haufichiki Mumeshinda Mchezo na Ndiyo Jambo la Msingi.
upo sahihi unachokizungumza na kama uliuangalia mpira kwa umakini kwenye kipindi cha pili utagundua liverpool hawakupiga hata shoot on target licha ya kuwa walimiliki mpira kwa 75%.Simpendi mourinho lakini kwenye big games kama hizi...nampa 75% ya ushindi...anafanya homework yake nyema kabisa...anaisoma timu pinzani mpaka boxer wanazovaa na anazikaba..kama huamini muulize salah.
Huyo ndo master tactician.
Maneno ya shabiki wa Liverpool.