Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

I think Ni Upofu Ndiyo uliokufanya usione coz umeshinda Mchezo!!

Lakini Nikikwambia Ueke Stats Za Mchezo sijui Kama Hutobishana Na Stats Zako.

Tumewatawala Kila Sehemu...

Lakini Point ni Kwamba Ukweli Haufichiki Mumeshinda Mchezo na Ndiyo Jambo la Msingi.
hongera kwa kutawala mchezo ila wenye akili wameondoka na point 3 muhimu
 
Jamaa kashindwa kutambua ukiangalia hata umr na udhoef alionao scott lakin alikuwa mtulivu anapokea mipira na kutawanya kama amecheza zaid ya mech 15 za epl tena againt big teams
Dogo anafanya kazi ambayo Mourinho anaitaka ndio maana kocha kila siku anamsifia imagine Jose anampa namba straight karibia mechi 7 mfululizo na mechi muhimu
 
Mwanajeshi.
IMG-20180310-WA0048.jpg
 
Mkuu wala sibishi kwa hilo..
ila Tommy nayeye awasubiri Chelsea Ndiyo aoneshe Mpira Wake Wa Kitoto.
Nina mashaka na ufahamu na uelewa wenu kuhusu soka kama Mctom alipwaya kwahiyo mmepigwa na mtu 9 ndani maana Dgea naye tulimpuzsha leo
 
The last 4 games tumeona ile spirit ya Manchester United

Defense yote Smalling,Young,Bailly wamecheza vizuri sana

Lukaku amejua kucheza kocha anavyotaka recently game amekuwa msaada sana kwenye ku-create chance kwa wenzake na amekuwa clinical kwenye umaliziaji .Sanchez bado hajafit kwenye timu but ana uwezo mkubwa sana wa ku-hold mpira
 
upo sahihi unachokizungumza na kama uliuangalia mpira kwa umakini kwenye kipindi cha pili utagundua liverpool hawakupiga hata shoot on target licha ya kuwa walimiliki mpira kwa 75%.
mechi ya sevilla tunapaswa tuimalize mapema kwa sababu matokeo yoyote ukiondoa kufungwa sevilla wanafuzu robo final.
Toa neno "matokeo yoyote" anafuzu tukitoka 0 0 atafuzu vip sasa mkuu, sema draw yoyote ya magoli jamaa watapta
 
Wakuu bila kumpongeza Lukaku kwa jinsi anavyoweza kujitoa kwa ajili ya timu itakuwa jambo baya sana goli zote mbili de gea kapiga mipira mirefu kumtafuta Lukaku ambae kawadondoshea hiyo mipira Rashford na Mata huyu jamaa ni bonge la usajili.
Ninaamini unachoamini mkuu, ila kuna wehu wanajitoa ufahamu. Kwao mchezaji mzuri ni yule mwenye chenga nyingi na magoli mengi. Lukaku all around contribution ni kubwa mno
 
Back
Top Bottom