Manure mmesawazisha njooni kwenye uzi wenu
Hana mchango mpaka sasa dakika ya 14 beki Young kashapanda na kupiga krosi mbili (ingawa zilikuwa mbovu) yeye yuko pale kama winga anarukaruka tu hajafanya chochote Beki anatoka nyuma anakuja kumpiku!!!![]()
![]()
![]()
Ndo mchezaji bora kwa sasa kwa upande wangu, kijana anacheza vizuri sana.Yani mm siamini kama huyu mctominay ni mchezaji wa kuanza man utd
Opinion from Arsenal fanKimya sana humu!
Kuna michezo kama basketball, table tennis na netball..
Siyo lazima mshabikie timu hii mbovu..🙂🙂🙂🙂
Mamaester UrinatedHiyo ni timu ya wapi?
Mamaester Urinated
Mkuu achana na hiyo..sasa ameingia Lingard badala yale subiri uone mpira wa maana. Dogo kama amefungwa boda boda miguuni. Utamuona huku nyuma eneo la Young anakaba na kuchukua mipira halafu muda huo huo utamuona anaambana kule mbele kufunga goli. Mchezaji wako yule mzito sana(Lazy).Vipi ile assist aliyotoa umeiona?
Vp maendeleo kuna dalili ya goli LA pili