Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndoto za mchana nje ndani iyo vipi au umesahau kile kichapo cha 2-0 kwa sasa chelsea hainipi homa timu ni city na liverpool tu wakikuamulia wanakusaka kweli wewe chelsea mgonjwa
Hahaaa.. Wewe ndio mzima siyo.? [emoji1] [emoji1]
 
Teh.. Shabiki uchwara. Ngoja na mi niendelee kufanya yangu.
Uchwara kukwambia nakunyuka? Utakuwa sio mzima kwa hiyo uliposema utanifunga ningekwambia sawa hapo ningekuwa shabik kamili?

Msubilie baca uwe unavuta punz vinginevyo utaugua sana.
 
Dk 90 zitaongea mm nabet utapigwa zaid ya goli 4 kwa mpira ule wa kumtegea kipa tu
Nane nane lazima uungane nae hakuna namna nimekutesa sana ningeshangaa kama mshabik wa arsenal atafurahia ushind wetu

Wakishinda basi bado na safi tu
 
Uchwara kukwambia nakunyuka? Utakuwa sio mzima kwa hiyo uliposema utanifunga ningekwambia sawa hapo ningekuwa shabik kamali?

Msubilie baca uwe unavuta punz vinginevyo utaugua sana.
Timu yako bado mbovu lakina unaleta ubishi kuninyooshea mimi kidole. Si ndio uchwara huu
 
Timu yako bado mbovu lakina unaleta ubishi kuninyooshea mimi kidole. Si ndio uchwara huu
Umeitwa hapa? Wewe si jana umepost huo ujinga nkajua una timu nzur kumbe na ww unatambua timu lako bovu sasa mashauzi ya nn? Ooo ntakupiga hapo hapk kwako
 
Nane nane lazima uungane nae hakuna namna nimekutesa sana ningeshangaa kama mshabik wa arsenal atafurahia ushind wetu

Wakishinda basi bado na safi tu
Imebaki history tu.....timu itakuwa museams house[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kama wale watani zako wa jadi
 
Umeitwa hapa? Wewe si jana umepost huo ujinga nkajua una timu nzur kumbe na ww unatambua timu lako bovu sasa mashauzi ya nn? Ooo ntakupiga hapo hapk kwako
Nitakupiga kwa sababu ya ujeuri wako na ubishi. Kichwa kontena akili harage.
 
Back
Top Bottom