Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,912
- 10,262
Wachezaji wa Man City hawakosi magoli kama wa United tatizo humpendi Mourinho so kila kitu unamlaumu yeye game against Leicester,Stoke,Burnley timu ingeweza kushinda magoli 5 but wachezaji wamekosa magoli ya wazi still unamlaumu kochaTimu bora na ambayo imejiandaa kutwaa makombe bila porojo ni ile ambayo kila mchezaji ana magoli.
Kwanza Mfumo wa mourinho haumfanyi namba 9 kutengenezewa Nafasi nyingi lakini pia hauifanyi team kutengeneza Nafasi nyingi kitimu. Ndio maana Nafasi chache zinazotengenezwa sio specifically kwa striker. Hapo ndio tunaanza kusema huyu mchoyo Kwanini hakumpa pasi flani.
Kiufupi ni Nafasi ambazo ni unexpected.
Lukaku ni one of the Best and Beast striker in EPL ila chini ya mourinho anastrugle kwa sababu hakuna "expected chances" anazotengenezewa. Kuweka Mpira nyavuni ni mbinu za mchezaji ila mchezaji kuupata npira ili auweke nyavuni hizo ni mbinu za mwalimu.
Primary duties za namba Tisa duniani kote na sayari zote ni kufunga magoli assists ni Kaz ya ziada. Mbinu butu za mourinho Lukaku anatoa assists nyingi kuliko Nafasi anazotengenezewa afunge. Its simple logic; Striker Wetu hatengenezewi Nafasi akiwa kwenye Nafasi sahihi za kufunga ndio maana hawezi kufunga anaishia kutoa pasi wengine wafunge.
Sioni mchezaji mbinafsi pale Manchester united. Ni jambo la faraja wachezaji wengine wanapofunga striker anapokuwa kwenye ukame wa magoli.
Angalieni goal distribution kwenye kikosi cha Manchester city kwa kila mchezaji.
View attachment 681091View attachment 681092View attachment 681093
Sasa hii distribution haiji from the sky hizi ni mbinu za coach. Wachezaji ni kutekeleza tu.
Akiwa Chelsea Terry,Cahill,Ivanovic,Azpi (mabeki) walikuwa wanafunga magoli mengi
How many chances Lukaku alikosa magoli kwenye mechi 10 za kwanza ?
Na unapomponda Mourinho fanya comparison alivyoikuta timu na ilivyo sasa check statistics (chance created,goal scored,goal conceded,position)