Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Thanks God tumeshinda, sasa wacha "nivae" jezi ya Newcastle niwaangalie watakavyochukua point yao moja Etihad Stadium

GGMU
 
Hivi huyu kocha na wachezaji wake uwa awaangalii mechi za zamani za Manchester United enzi za Sir Alex Ferguson ili wajifunze
 
Us


Yani kuna wakati mtu unawezafikiri wamehongwa wasifunge

Ndio maana maranyingi tunapotezaga points 2 mwishoni kabisa baada ya wapinzani wetu kurudisha goli/magoli

Sijui kwanini wasiwe wanamaliza game mapema (Kama walivyofanya wachovu Arsenal leo) ili baadae hata wakianza mbwembwe wanakuwa na uhakika ushindi upo
 
A win is a win though we were little bit floppy today...it is about time sasa Sanchez aje sasa
 
Huyu ni official photographer wa utd.
748bc6a9757c6d081ef0104bd7317dc2.jpg
 
Kwa jinsi martial alivyokua anaremba ndani ya 18, selfish ya rashford na kubana kwa pogba. Zote hizo zilikua open chances za kiscore....hapo analaumiwa Mou kivipi?

Mkumbuke hata na yeye anaumia kama nyie mashabiki, akiwa mkali ohooo anaua vipaji (maniner) mnataka aingie uwanjani kuwashika makalio ndio wafunge??
 
Nawapenda sana Pundits wa jukwaa hili...ila nawapenda zaidi kwenye ule wakati wa kumeza matapishi yenu
 
Back
Top Bottom