Mkhitaryan at london ( photo by skysports )
e7c42382d8d859356c7f7a66ff5cd6e5.jpg
 
Kwa jinsi martial alivyokua anaremba ndani ya 18, selfish ya rashford na kubana kwa pogba. Zote hizo zilikua open chances za kiscore....hapo analaumiwa Mou kivipi?

Mkumbuke hata na yeye anaumia kama nyie mashabiki, akiwa mkali ohooo anaua vipaji (maniner) mnataka aingie uwanjani kuwashika makalio ndio wafunge??
 
Hao walifukuzwa kwasababu timu zao zilikua hazifanyi vizuri, hauwezi kufukuza kocha wakati timu inafanya vizuri.
Van Gaala alishaonekana hawezi kuipeleka timu pale inapotakiwa ndio maana aliondolewa. Miaka miwili kachukua kombe moja la Epl, kashindwa kuivusha timu kwenye hatua ya makundi champions league.
Kaenda Europa kashindwa kufika nusu fainali, kwanini asitimuliwe?

Nasikitika mnapoteza muda wenu tu!!!
 
Huwa nashangaa sana logic zako
Last season Liverpool alizifunga karibia timu zote big 6 lakini alishika nafasi ya 4 ,LVG aliwafunga Liverpool mechi zote kwenye EPL you know what happens. Ukimfunga Liverpool unapata point 3 the same ukimfunga Stoke unapata point hizohizo 3

Last season United alitoa droo game karibia 15 against hizo team ndogo timu ilipoteza almost point 30 against hizo timu vibonde
Mkuu mnapoteza muda hapo

Project ya mourinho inaenda vizur mno pap kashindwa kufanyakazi na ihenacho lakin mourinho anafanyakazi na rashford kashindwa kufanya kazi na kolarov lakin mou anafanyakazi na young kashindwa kufanya kazi na clichy lakin mou yupo na darmain nabado timu kuifunga ufanye kazi

Hizo bek zetu kasajili wawili tu bailly mgonjwa na victor waliobak zao la sir alex na van gaal kawafanya walau wawe wagumu kwa nn tusimpongeza dirisha lijalo anaongeza wachezaj wengine wenye hadh ya timu kwa nn tumalaum kocha?

Umeongea vizur mno liverpool alifumua wote msimu ulioisha mwisho anaitafuta top 4 kwa tochi

Mech ya jana kama hakukuwa na uchoyo wanaomfanyia lukaku si chini ya goli 3 tungeshinda

Tumkaribishe sanchez....
 
Aisee naungana na wengine Mimi ni Shabiki wa Man U ,lakini sijawahi kubali Mbinu za Mou ,Naamini tungekuwa na kocha mwenye Mbinu kwa kikosi tulicho nacho na namna Maboss wanavyotoa Huduma ya kifedha kusajili.Hapana tusingetakiwa tuwe hapo tulipo.
Kuna wajinga humu wamejimilikisha Manchester united kuwa ni team yao na hawahitaji negative opinions...

Ukweli utabaki pale pale mourinho hana mbinu na kwa aina ya mbinu zake si maajabu sanzez akawa flop ..

Mbinu za kujilinda
 
Ishu si kwamba watu hawataki negative opinions. Kila mtu anajua kuwa Mou ni diffencive minded coach lakini haimaanishi eti kila game anapaki,mfano mzuri zile game za mwanzo ambazo hadi tukajiita 4G ,je alikuwa anapaki? Wasn't the team scoring goals? Mou anapaki pale anapoona yeye anastahili na kwa njia hiyo ikampa europa last season.
Sanchez atakuwa flop? How can you tell that? Si kwamba msimu huu ndo tumeona the best of Rashford,Martial,Lingard hawa wote ni attacking players ndo Sanchez aflop.Hata Lukako japo hafungi kama mlivyotarajia lakini generally kadevelop,his first touch has improved,siku hizi mpaka anaopen spaces kwa players wengine kwa kuhold mpira,ana assist sana yaani kiufupi kakuwa kimchezo under Mou. So sanchez kuflop labda itokee tu kimpira ila si sababu ya Mou,kashine hazard.
So watu wapo behind the gaffer aslong as analeta results.
 
Kuna wajinga humu wamejimilikisha Manchester united kuwa ni team yao na hawahitaji negative opinions...

Ukweli utabaki pale pale mourinho hana mbinu na kwa aina ya mbinu zake si maajabu sanzez akawa flop ..

Mbinu za kujilinda
Mbona povu sana kiongozi makocha wapi wenye mbinu unazotaka wewe?
1. J.Klop___________?
2. Wenger__________?
3.Conte____________?
4. Pochettino_______?

Kama makocha wenye mpira wenye mbinu mpya ndo hao kwa maono yako basi utakua unakosea maana tumewapita kila kitu hao kuanzia points hadi GD.

Ukiangalia hata wachezaji mmoja mmoja team yetu iko vyema David ana cleansheet za kutosha huku Pogba ana assists za kutosha na Lukaku anafunga kwa kiasi chake japo naona wanamfanyia uchoyo sana nadhani angekua na magoli mengi zaidi.

Maoni yako tunayaheshimu sana lakini na wewe jiongeze kwenye statistics za team ikiwa chini ya Mourinho, Naona unamuhukumu JM kwa historia ya mbinu zake ila muhukumu JM kwa anachokifanya United sasa hivi. Laiti kama angekua na mbinu mbovu kama unazofikiria wewe kichwani kwako asingefikiriwa kupewa mkataba mpya.

Tuko pamoja tumekubali negative opinions zako na wewe kubali positive opinions zetu ili tujenge umoja endelevu.

#GGMU#
 
Why unapoteza muda kujibizana na hao unawaita wajinga ?

JF ni Home of Great Thinkers unapaswa kutoa hoja za msingi ku-justify unachokiongea sio kutukana watu, i know many members hapa walikuwa hawamkubali Jose since akiwa Chelsea but huwa wanatoa hoja za msingi ku-justify hoja zao na wanakiri he is doing good job so far.

Hapa kama mchezaji/kocha atafanya vibaya watu lazima watamlaumu last season Pogba,Zlatan walipofanya vibaya walilaumiwa wakati Mourinho anawaweka benchi Mkhi,Shaw,Mata alilalamikiwa
 
Kuwaita Wenzako "Wajinga" kisa tuu mtazamo wao uko tofauti na wako kunakufanya uwe kwenye kundi la Walio Wajinga Zaidi.
 
Jana mechi yote binafsi kwa upande wangu sikuona Mata anachofanya bado tumlaumu mourinho kwa hilo?

Mata,lingard,lukaku,martial wapo mbele kushambulia kuna kuzuia hapo au uzembe wa wachezaji wetu unaotunyima magoli?

Lingard kwa sasa anafunga lakin si mzur wa kukaa na mipira kwamba atawapa shida mabek wa timu pinzan hata mata nguv hamna walau hapo upate wacheza wawili tu wakukaa na mipira na kudrible uone moto wake tuna mchezaj mmoja tu ambae anaweza kukaa na mipira mbele ya watu wa 3 paul pogba akasubilia wenzie wapande ndo mana sanchez anatakiwa kwa udi na uvumba

Alieona jana kama upande wa no.7 kuna uhai ulikuwepo atauambie zaid ya valencia kupambana na wachezaj wa burnley wawili mana mata hawap shida

Hapo herrera mkabaj anaetumika kwa sasa yupo bench bado tunasema jamaa anazuia.
 
Frank Lampard: "It is not as if Sanchez has turned down City to go to China, like other players. He’s gone to one of the biggest, if not the biggest club in the world in Manchester United."
 
Martial alifanyiwa sub we, martial Ni mchezaji bora tatizo yupo na kocha mbovu
Kuna jamaa amesema Mikh ni bonge la fundi ila alipunguziwa kujiamini na Mou.

Nasubiri kuona hii kauli inapigiwa mstari kwa atakachofanya akiwa huko Arsenal.

Naomba Mungu Sanchez awe yule tunayemjua asije akapewa majukumu ya beki luke Shaw!
 
Maoni yangu ni Yale Yale,

" Manchester united Chini ya Jose mourinho hakuna Kitu"

"Mbinu za mourinho zimefika mwisho na team haitasonga popote chini ya mourinho."..

Angalieni Mapinduzi na mbinu za kiuchezaji za walimu wa Tottenham, Man city na Liverpool. Mourinho kimbinu huwa si mzuri. Huu ni ukweli mchungu.

Povu ruksa. Ila muda utanitetea siku moja. Msimamo wangu utabaki hivi.
Kwahyo unataka usaidiwe ni nini? Tafuta namna ya kupeleka maoni yako kwenye bodi sio kutujazia sever na ramli zako hizo.
 
Mbona povu sana kiongozi makocha wapi wenye mbinu unazotaka wewe?
1. J.Klop___________?
2. Wenger__________?
3.Conte____________?
4. Pochettino_______?

Kama makocha wenye mpira wenye mbinu mpya ndo hao kwa maono yako basi utakua unakosea maana tumewapita kila kitu hao kuanzia points hadi GD.

Ukiangalia hata wachezaji mmoja mmoja team yetu iko vyema David ana cleansheet za kutosha huku Pogba ana assists za kutosha na Lukaku anafunga kwa kiasi chake japo naona wanamfanyia uchoyo sana nadhani angekua na magoli mengi zaidi.

Maoni yako tunayaheshimu sana lakini na wewe jiongeze kwenye statistics za team ikiwa chini ya Mourinho, Naona unamuhukumu JM kwa historia ya mbinu zake ila muhukumu JM kwa anachokifanya United sasa hivi. Laiti kama angekua na mbinu mbovu kama unazofikiria wewe kichwani kwako asingefikiriwa kupewa mkataba mpya.

Tuko pamoja tumekubali negative opinions zako na wewe kubali positive opinions zetu ili tujenge umoja endelevu.

#GGMU#
Hakuna sehemu nimemtaja arsenal Wenger na arsenal yake acha kunipakazia uongo.... Hapo kwa Wenger weka Guardiola na usuke swali lako mpya
 
Why unapoteza muda kujibizana na hao unawaita wajinga ?

JF ni Home of Great Thinkers unapaswa kutoa hoja za msingi ku-justify unachokiongea sio kutukana watu, i know many members hapa walikuwa hawamkubali Jose since akiwa Chelsea but huwa wanatoa hoja za msingi ku-justify hoja zao na wanakiri he is doing good job so far.

Hapa kama mchezaji/kocha atafanya vibaya watu lazima watamlaumu last season Pogba,Zlatan walipofanya vibaya walilaumiwa wakati Mourinho anawaweka benchi Mkhi,Shaw,Mata alilalamikiwa
Unafahamu maana ya ujinga ??? Tangu lini ujinga ukawa ni tusi.

Pitia rules za JF uone kama ujinga ni miongoni Mwa maneno yanayoweza kumpa mtu ban.
 
Kuwaita Wenzako "Wajinga" kisa tuu mtazamo wao uko tofauti na wako kunakufanya uwe kwenye kundi la Walio Wajinga Zaidi.
Ninashaka na utashi wa elimu yako, tangu lini ujinga ukawa na hiyo status unayotaka wewe.

Ujinga si tusi. Ujinga ni sifa.
 
Back
Top Bottom