Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lukaku hili jambo linamtesa mno la ubinafsi kila mtu anataka afunge daa spurs tu wameweza kuweka mfumo wao vizur ni kane tu lazima apate mipira


Pia tukifanikiwa kumpata sanchez sio mbinafs
Martial na Rashford ni wazuri sana, sema sometimes wana vimbwembwe vya kijinga sana.....

Wanakua kwy sehemu nzuri ya kumove au kufunga lkn wanaleta mbwembwe, alafu Mou akiwaka mnasema hana mahusiano mazuri na wachezaji.

Mfano Mikh kuna game kibao alikua anafanya utumbo....Mou kampa second chances nyingi tu dogo bado ana dangadanga....amfanyeje sasa?? Kwendraaa....

Nimegundua game yeyote wakicheza pamoja Martial, Rashford na Mata kwa pamoja utoto unakua mwingi. Wanataka kucheza kama barca wakati control ya kuhold hawana.

Dawa ni Rashford na Martial wame wanapigwa sub wenyewe kwa wenyewe kama zamani ili watie akili
 
Klabu ya Manchester United imefanikiwa kuchomoza na ushindi mwembamba wa bao 1-0 wakiwa ugenini dhidi ya Burnley.



Bao pekee la Martial dakika ya 54 lilitosha kuipatia pointi tatu kikosi hicho cha Mreno, Jose Mourinho na kukifanya kuwa na alama 53 katika msimamo wa ligi ya England nyuma ya Manchester City ambao wana 62.
 
Klabu ya Manchester United imekamilisha uhamisho wa mshambuliaji Alexis Sanchez kutokea Arsenal na kutarajiwa kufanyiwa vipimo jioni ya leo katika viunga vya uwanja wa mazoezi wa United wa Carrington.

Dili ambalo pia linamuhusisha Henrikh Mkhitaryan ambaye tayari kila kitu kipo sawa na Sanchez tayari ameshaanza safari ya kwenda Kusini mwa jiji la Manchester kwaajili ya kufanyiwa vipimo vya afya leo siku ya Jumamosi huku akitarajiwa kupokea mshahara wa paundi 450,000 kwa wiki.

Timu nzima ya watabibu wa United walikuwa na kikosi huko Turf Moor kwaajili ya mechi yao lakini wanampango wa kukutana na mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Chile baada ya mchezo huo.

Ingawa mpaka sasa timu nzima iliyosimamia zoezi hilo haijazungumza chochote meneja wa kikosi hicho, Jose Mourinho akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo wao dhidi ya Burnley amesema watu watarajie hivi karibuni ujio wa mchezaji huyo.

Watarajie hivi karibuni, kama hautofanikiwa basi hautokuwepo tena usajili huo, nafahamu watu wangu hufanya mambo kwa uhakika ninahakika watafanikiwa katika zoezi hili,” amesema Mourinho akijibu maswali ya waandishi wa habari baada ya mchezo dhidi ya Burnley.
 
Klabu ya soka ya Manchester United haina mpango wa kumsajili tena mchezaji bora wa dunia Cristiano Ronaldo ambaye amekuwa na wakati mgumu Real Madrid.

Kwa mujibu wa gazeti la michezo la Marca kutoa Hispania limesema hilo kutokana na Man United tayari wanakaribia kumsaini Alexis Sanchez kutoka Arsenal ambaye anatarajiwa kuvaa jezi namba saba katika timu hiyo ambapo jezi hiyo iliwahi kuvaliwa na Ronaldo wakati akichezea timu hiyo.

Inadaiwa kuwa sababu kubwa ya Ronaldo kutokuwa na furaha ndani ya Madrid ni kutokana Rais wa Madrid, Florentino Perez kuvunja ahadi ya kumuongeza mshahara wake ambapo kwa sasa analipwa paundi milioni 21 kwa mwaka.
 
BOSS EXPLAINS YOUNG/SHAW DECISION

Manchester United boss Jose Mourinho has explained his reason for selecting Ashley Young ahead of Luke Shaw for the Premier League clash at Burnley.

Shaw had started five games in a row and was praised by the manager for his consistent form, with Jose admitting there were not many better left-backs around.

However, it was felt Young should get the nod at Turf Moor, after serving a three-match suspension, because of his superior experience against resolute opponents and attacking nous stored from previously playing in a wing role.

"I'm really happy with Luke," Mourinho confirmed. "As I said yesterday, I don't need to go to the transfer market to get a left-back because I'm really happy with Luke and with the adaptation of Ashley Young so I’m really happy.

"But I think this match is a very specific one and one that you need the experience of Young and he also projects very well in attack. That's a decision [you make] when you have two players and a good squad, and you can adapt."
 
Manchester United will pay Arsenal £20m for Alexis Sánchez and £15m to his agent. The player will earn £350,000-a-week + £100,000-a-week image rights. He'll also receive a £7.5m signing on fee. (Source: Daily Mail)
 
Maoni yangu ni Yale Yale,

" Manchester united Chini ya Jose mourinho hakuna Kitu"


"Mbinu za mourinho zimefika mwisho na team haitasonga popote chini ya mourinho."..

Angalieni Mapinduzi na mbinu za kiuchezaji za walimu wa Tottenham, Man city na Liverpool. Mourinho kimbinu huwa si mzuri. Huu ni ukweli mchungu.

Povu ruksa. Ila muda utanitetea siku moja. Msimamo wangu utabaki hivi.
 
Maoni yangu ni Yale Yale,

" Manchester united Chini ya Jose mourinho hakuna Kitu"


"Mbinu za mourinho zimefika mwisho na team haitasonga popote chini ya mourinho."..

Angalieni Mapinduzi na mbinu za kiuchezaji za walimu wa Tottenham, Man city na Liverpool. Mourinho kimbinu huwa si mzuri. Huu ni ukweli mchungu.

Povu ruksa. Ila muda utanitetea siku moja. Msimamo wangu utabaki hivi.
kama si mzuri angekaa nafasi ya 2
 
kama si mzuri angekaa nafasi ya 2
Mbona huzungumzii kuwa Manchester united ilikuwa inaongoza ligi baada ya mechi kumi za mwanzo. Leo tuko Nafasi ya pili kwa tofauti ya 10+ points na Manchester city. Au hili hulijui.



Tuanzie hapo kipi kimetufanya kushuka kutoka kuongoza ligi mpaka kupitwa na Manchester city kwa zaidi ya pointi 10.


Tulikuwa tunamzidi Chelsea zaidi ya pointi 10 Leo sisi tunapoint 53 yeye 50. Je, Timu imesimama au inasonga mbele????

Unakumbuka gap letu na Liverpool???

Inahitaji akili za jicho la tatu kujua na kubaini haya. Anyway huu ni Mtazamo wangu
 
Mbona huzungumzii kuwa Manchester united ilikuwa inaongoza ligi baada ya mechi kumi za mwanzo. Leo tuko Nafasi ya pili kwa tofauti ya 10+ points na Manchester city. Au hili hulijui.



Tuanzie hapo kipi kimetufanya kushuka kutoka kuongoza ligi mpaka kupitwa na Manchester city kwa zaidi ya pointi 10.


Tulikuwa tunamzidi Chelsea zaidi ya pointi 10 Leo sisi tunapoint 53 yeye 50. Je, Timu imesimama au inasonga mbele????

Unakumbuka gap letu na Liverpool???

Inahitaji akili za jicho la tatu kujua na kubaini haya. Anyway huu ni Mtazamo wangu
Unaona nini kifanyike?
 
Maoni yangu ni Yale Yale,

" Manchester united Chini ya Jose mourinho hakuna Kitu"


"Mbinu za mourinho zimefika mwisho na team haitasonga popote chini ya mourinho."..

Angalieni Mapinduzi na mbinu za kiuchezaji za walimu wa Tottenham, Man city na Liverpool. Mourinho kimbinu huwa si mzuri. Huu ni ukweli mchungu.

Povu ruksa. Ila muda utanitetea siku moja. Msimamo wangu utabaki hivi.

Mapinduzi ya kimbinu halafu makombe 0, unaitaji kuwa kichaa kukuelewa.
 
Timu bora na ambayo imejiandaa kutwaa makombe bila porojo ni ile ambayo kila mchezaji ana magoli.

Kwanza Mfumo wa mourinho haumfanyi namba 9 kutengenezewa Nafasi nyingi lakini pia hauifanyi team kutengeneza Nafasi nyingi kitimu. Ndio maana Nafasi chache zinazotengenezwa sio specifically kwa striker. Hapo ndio tunaanza kusema huyu mchoyo Kwanini hakumpa pasi flani.

Kiufupi ni Nafasi ambazo ni unexpected.


Lukaku ni one of the Best and Beast striker in EPL ila chini ya mourinho anastrugle kwa sababu hakuna "expected chances" anazotengenezewa. Kuweka Mpira nyavuni ni mbinu za mchezaji ila mchezaji kuupata npira ili auweke nyavuni hizo ni mbinu za mwalimu.


Primary duties za namba Tisa duniani kote na sayari zote ni kufunga magoli assists ni Kaz ya ziada. Mbinu butu za mourinho Lukaku anatoa assists nyingi kuliko Nafasi anazotengenezewa afunge. Its simple logic; Striker Wetu hatengenezewi Nafasi akiwa kwenye Nafasi sahihi za kufunga ndio maana hawezi kufunga anaishia kutoa pasi wengine wafunge.


Sioni mchezaji mbinafsi pale Manchester united. Ni jambo la faraja wachezaji wengine wanapofunga striker anapokuwa kwenye ukame wa magoli.


Angalieni goal distribution kwenye kikosi cha Manchester city kwa kila mchezaji.


1516513580386.png
1516513598425.png
1516513609315.png



Sasa hii distribution haiji from the sky hizi ni mbinu za coach. Wachezaji ni kutekeleza tu.
 
Kwa jinsi martial alivyokua anaremba ndani ya 18, selfish ya rashford na kubana kwa pogba. Zote hizo zilikua open chances za kiscore....hapo analaumiwa Mou kivipi?

Mkumbuke hata na yeye anaumia kama nyie mashabiki, akiwa mkali ohooo anaua vipaji (maniner) mnataka aingie uwanjani kuwashika makalio ndio wafunge??
Ni kweli kuna waqt tunashinda kwa ngama au hata kutoa sare ya jioni pasipo sababu zozote zaidi ya kutotumia nafasi tunazotengeneza inaumiza sana kama sare na Leicester haikutakiwa kuwepo. Tunakosa sana magoli na hili la ulafi na uchoyo linashika kasi sana.
 
Mapinduzi ya kimbinu halafu makombe 0, unaitaji kuwa kichaa kukuelewa.
Kwa mbinu hizo una amini Manchester united itachukua ubingwa msimu huu ?????



Nakuahidi Manchester united ikitwaa ubingwa msimu huu wa kikombe chochote najitoa jf.... Kwa mbinu za mourinho we can't battle with Tactics Guru teams .
 
Back
Top Bottom