Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Shithole people from shithole countries supporting shithole team composing of shithole players with shithole manager.
Sawa mkuu shukran kwa kucopy na kupaste ..JF ina umuhimu sana kwangu sijawai kuitumia kwa kutafuta sifa au kutukana watu mda nitakaokuwa nimepigwa Ban nishapoteza a lot of money...so wrong no mkuu
 
Mkuu asubhui asubhui unaanza na lugha chafu mpka ikifika jioni sijui utakuwa umeshaingiza zambi ngapi za lugha chafu kuanzia mtaani, ktk jamii yako mpka humu majukwani..sio kosa lako ni malezi mabovu ya wazee wako na instgram ulipozoea
Huyo jamaa ana stress sana msamehe tu... Litimu lake la aseno linayumba yumba halieleweki ndio maana anakuja huku kupunguza stress!!

Alafu ana stress za sanches kuja man united!!
 
Stress mbaya sana... Yani hapo unawaza..

1. Sanchez anaondoka

2. Asenane imefulia

3. Matokeo ya kidado cha nne hayajatoka na unahisi utakua umetaga!

Pole sana mkuu dawa ya stress sio kuja kubwabwaja humu ni kutafuta maji ya baridi na limao alafu unywe!!
Tulia mpaka dirisha la usajili lifungwe ndo uanze kunikenulia kuhusu asenali...
Kwan Sanchez kafunga mabao mangapi this season?? Kati ya Sanchez na Ozil nan ana umuhimu zaidi kwangu??
Kwanza nashukuru kuondoka kwa Sanchez coz amewafanya mabosi wangu akili kuwaingia na kuleta majembe ya maana.
Hapo babu alikuwa ashasema kuwa haongezi mtu dirisha hili la winter.Si ajabu angeendelea kuwepo huyu mtu ningeendelea kupata matokeo mabovu.Huoni kanisaidia kupata mwanga???
Namimi ntaendelea kusema hii timu itabaki kuwa united of Manchester hivyo hivyo...
Mlisajili kadabra yupo fomu mno kutoka Paris..., mshasajili a lot of world class players kutoka katika timu zao....,ila wakija kwenye hii timu wanakuwa shithole....
Timu inayokurupuka katika usajili..
 
Sizitaki hizi mbichi!

BTW tumeanza na sanchez, ozil mwakani tunamkwapua na yeye!
Jidanganye...,huyo ana stress za kutoshiriki world cup..mwambie kule hawashiriki visabengo ka yy...
Halafu mbona umechukua paragraph moja tu ya post yangu??
Toa hoja ya post yote ww...
 
Kuna watu wana washwawashwa na hili jukwaa la Man Utd, nendeni kwenye majukwaa yenu huko ya Arsenane, Chelshit na losserpool
 
Back
Top Bottom