Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwahyo unataka usaidiwe ni nini? Tafuta namna ya kupeleka maoni yako kwenye bodi sio kutujazia sever na ramli zako hizo.
Ona ulivyo mshamba hata kuandika kwenyewe hujui

Server
Sever

Kama maneno Madogo kama haya unashindwa kuyaandika utaweza kuchambua soka na kusoma articles za Wakina Robbie Savage

Umeshajidhihirisha ni MTU wa aina gani.
 
Yes kwa sababu huelewa na akili za mtu zinapimwa kwa maandishi, hongera aunt
Huelewa
Uelewa

Naona umeamua kunipa kazi ya ziada ya kukufundisha lugha baada ya kukuelekeza soka lilivyo.

Nenda jukwaa la elimu ukasome lugha kidogo
 
Screenshot_2018-01-21-16-50-32.png
 
Ninachompendea Sanchez ni mpambanaji, sio bishoo kama walivyo wachezaji wetu wengi.
Umesema kweli, ni muhimu sana kuwa na mchezaji mpambanaji kuliko top class lakini bishop. Wachezaji wenye roho kama ya Samwel Kuffur (yule wa Buyen miaka ya 1999), Claude Makelele, Michael Essen wachezaji wa aina hiyo, nawapenda sana.
 
aahhaa! Mkwe acha hizo! Sanchez atacheza nafasi zote za Mbele kuanzia kiungo, winger, striker ili Kupima anafit wapi then anapewa majukumu anayostahili.

Kikubwa ni kwamba timu inatukuwa na balance pale Mbele na speed itaongezeka kwani Sanchez 7 ataambukiza kukiambia. Nafikiri ndiyo wakati mzuri wa kuona uzuri wa Lukaku na Pogba. I can't wait to watch this wonderful set of world class stars.

Kuna jamaa amesema Mikh ni bonge la fundi ila alipunguziwa kujiamini na Mou.

Nasubiri kuona hii kauli inapigiwa mstari kwa atakachofanya akiwa huko Arsenal.

Naomba Mungu Sanchez awe yule tunayemjua asije akapewa majukumu ya beki luke Shaw!
 
aahhaa! Mkwe acha hizo! Sanchez atacheza nafasi zote za Mbele kuanzia kiungo, winger, striker ili Kupima anafit wapi then anapewa majukumu anayostahili.

Kikubwa ni kwamba timu inatukuwa na balance pale Mbele na speed itaongezeka kwani Sanchez 7 ataambukiza kukiambia. Nafikiri ndiyo wakati mzuri wa kuona uzuri wa Lukaku na Pogba. I can't wait to watch this wonderful set of world class stars.
Mkuu na martial watakuwa wakipisha hawa watu martial,sanchez na lukaku nyuma yao pogba
 
Official announcement of Sanchez-Mkhitaryan swap deal from both clubs could come on Monday or Tuesday as both players would need to update their work permits. [bbc]

Daah hili deal limekua na updates nyingi mpaka mtu unachoka. lakini poa tu imebaki official announcement.
 
Acheni majigambo basi...afu ubishani gani mpka mnaanza na kutukanana asee...just easy
Jamaa kazidi bana muda wote ni kuponda tu eeee kama hukubalian na kocha sepa tu mbona kuna shabik wa hii timu alitangaza hampend mou ataanza kuingia hapa siku akisepa kwa sasa anauchuna easy sasa timu ikifanya vizur anatulia ikifanya vibaya au kuelemewa anaibuka what for?
 
Back
Top Bottom