Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
kalale ukue hiyo akili na hicho kichwa..Naona una washwa washwa
kalale ukue hiyo akili na hicho kichwa..Naona una washwa washwa
Sure...Kwanini tusiwapeleke Lukaku na Martial tukapewa Sanchez
Maana wanaboa
Nakuhakikishia hawezi kufunga..toa weka Rashford uone mabeki watakavyokimbizwa.Akifunga utakaa kimya tu
naona wamekujibuKwanini tusiwapeleke Lukaku na Martial tukapewa Sanchez
Maana wanaboa
Nakuhakikishia hawezi kufunga..toa weka Rashford uone mabeki watakavyokimbizwa.
Kamwonyesha tayari kwamba anastahili kuwepoAkifunga utakaa kimya tu
Kakuziba mdomoMartialllllllllllllllll![]()
Huyo si wakumjibu. Akipost kitu tunatakiwa kuto kumjibuNaona una washwa washwa
Angeshatupia la pili Pogba akambania passJamani Martial yupo ndani maana toka afunge goli sijamuona kabisa![]()