Shak donetskNani kamfunga city tuanzie hapo kwanza kabla hujaanza na kocha makini acha mou ajenge timu yake mi ntamponda 2019/2020 aliikuta timu taabani sana
Kumbe ipo eplShak donetsk
Swali c nani alomfunga city ?Kumbe ipo epl
Tumia akili hapa tunajadili epl usiwe unaruka ruka kama ndegeSwali c nani alomfunga city ?
Nilivyosema, ninamaanisha ina apply both ways! So, it will be game of chance.Mkuu Samahani Nakuuliza tu Kisport Kabisa! Hivi City atakapokuwa anacheza EPL, FA na UCL wewe United hutocheza League hizo utakuwa unarelax tu?
We umezionaHapo izo alama za kuuliza kwenye heading zinamaanisha nn?
Wewe umepigwa kwako kwake utaaibishwaArsenal bhana! 😀 😀 😀
Nina uhakika Washabiki Wake Wengi Hapa Bongo Wamepitia Mirembe!!!
Hata Liverpool na Chelsea Wanawaza Kushushana Wao Kwa Kwa Wao na sio Kumshusha Manchester!!! Lakini Arsenal Wanawaza Kumshusha Manchester wakati Ndiyo Timu pekee Kwenye Top 6 inayompa Points 6 huyo Manchester.. 😀 😀 😀
Mpira hauna bahatiki ukweli City wanashinda kibahati kuna mechi wanashinda dakika za majeruhi
Hata real Madrid 79% ya magoal yake yanatokana na set piecesHuo ni ukweli, katika magoli yote mawili hayakuwa yametengenezwa kwa mfumo. Yalitokana na dead balls ambazo kimsingi huwa ni bahati.
All in all United miaka yote huangaika kwa City, Liverpool na Arsenal.hata enzi za Fergie
Mda gani walikuwemo mabeki wa 5 mkuu au mpira hukuangalia?Magoli yao yalikuwaje?? Hapo ndipo ilipo hoja. Uchezaji wa United ni wa kiufundi sana japo watu wanachukulia powa sana.
Mpaka Pep anacheza na beki watano so kawaida.
Movement na derribling za Debruyn hazikuwepo. Only Sterling was active
Tuliza mshonoPep hakuikuta city mbovu wewe Kdb,silva,aguero,company,fernandinho,sterling hao wanamsaidia sana yeye kanunua bek tu