Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

babu fegi alikua na timu ya kawaida sana ila ilikua inapambana hatari ila kuna baadhi ya mechi tulibebwa na bahati na si soka la uwanjani....hao city rejea mechi zao 2 za nyuma na soton na westham ndio utajua nini nachokiongelea
Ndugu naamini hatuna legality ya kusema city anashinda kibahati wakati tulipokutana nae katuonyesha mpira wa hali ya juu na kutufunga, na wakati huo huo sisi hatukufanya chochote cha maana. Ukitaka kuongelea bahati ya city vizuri ni vema ukaanzia na ulivyokutana nae ni bahati gani aliipata. Mourinho anatafuta huruma tu.
 
kwangu ni bora aje dyabala kulko huyo perisic
Tatizo hata dyabala akija tutapoteza hela tu na talent yake haitaonekana kwa sababu ataambiwa akakae namba 3. Na Mou anamtaka sana perisic kwa sababu ni aina ya wachezaji wanaomudu kucheza wingback.
 
Ndugu naamini hatuna legality ya kusema city anashinda kibahati wakati tulipokutana nae katuonyesha mpira wa hali ya juu na kutufunga, na wakati huo huo sisi hatukufanya chochote cha maana. Ukitaka kuongelea bahati ya city vizuri ni vema ukaanzia na ulivyokutana nae ni bahati gani aliipata. Mourinho anatafuta huruma tu.
ningeandika mengi sana hapa ila kinachoniponza ni uvivu wa kuandika tu but soma coment huko juu kuna raia wana uwezo mkubwa tu wa kupambanua hoja zako watakujibu
 
Huo ni ukweli, katika magoli yote mawili hayakuwa yametengenezwa kwa mfumo. Yalitokana na dead balls ambazo kimsingi huwa ni bahati.

All in all United miaka yote huangaika kwa City, Liverpool na Arsenal.hata enzi za Fergie
Lakini tujiulize sisi mara ngapi tunatumia vema hizo dead balls? Ndio hapo linapokuja suala la umakini ndugu.
 
Magoli yao yalikuwaje?? Hapo ndipo ilipo hoja. Uchezaji wa United ni wa kiufundi sana japo watu wanachukulia powa sana.

Mpaka Pep anacheza na beki watano so kawaida.

Movement na derribling za Debruyn hazikuwepo. Only Sterling was active
Hyo mipira ya hatari ilifikaje kwetu na lukaku kusababisha madhara? Kama syo kukaribisha mashambulizi kupita kiasi kwa kitendo cha kukaa nyuma na kubutuabutua mipira hovyo. Mimi naamini Man U kwa wachezaji ilio nao si timu ya kucheza very defensive inapocheza na timu za top six bila kujali nyumbani au ugenini. Inaweza kufunguka na ikapiga yeyote yule.
 
Alikuwa na kikosi finyu jana, Wachezaji wanne muhimu hawakuwa uwanjani, City ni timu nzuri lazima ucheze nayo kwa tahadhari, kufungwa ni matokeo na mpira ni mchezo wa makosa, ukiangalia jana tulicheza vizuri zaidi ila bahati haikuwa yetu.

City hawakucheza mpira wao, uliona dakika 10 za mwisho City ndio walicheza mpira wao.

All in All tunapokutana na timu kubwa kuna aina flan ya Wachezaji tunawakosa kuufanya Mfumo wetu kucheza, Hatuna winger wa uhakika zaidi ya Martial, timu haina mbadala wa Pogba.

Imagine tungekuwa na Perisic yule wa Inter kama namba 7, afu Martial 11 kati kukawa na Lukaku na Rashford.

Ule ndio Mpira wa Man United hata tulipokuwa na Ferguson tatizo tulikosa Wachezaji muhimu.

Sikuumia kwa kuwa tuliitendea haki Match.
Kikosi finyu?! Vp tulipocheza na arsenal, chelsea, liverpool, tot. Hata mwaka jana tulitumia approach hyohyo tulipocheza na city, liver, chelsea
 
Teh teh teh teh teh teh 😀 😀 😀

24862577_2094361107247653_4359942736705281983_n.jpg
 
Ndugu naamini hatuna legality ya kusema city anashinda kibahati wakati tulipokutana nae katuonyesha mpira wa hali ya juu na kutufunga, na wakati huo huo sisi hatukufanya chochote cha maana. Ukitaka kuongelea bahati ya city vizuri ni vema ukaanzia na ulivyokutana nae ni bahati gani aliipata. Mourinho anatafuta huruma tu.
City anatandaza soka mkuu.. Mengine ni kujipa moyo tu
 
Hapo kuna utoafaut wa mashabik wa timu ndogo na kubwa nyie tayar mshasanda sisi hatujazoea kukata tamaa kama nyie mashabik wa vitimu vidigo bingwa hutangazwa may sio december Mpira ni bahat shukran ziende kwa striker wangu lukaku tu ila wale mliokuwa mkiwataja hawakuonekana pale.
Kwl hamjakata tamaa kabisa hv sir fergie aliondoka man u mwaka gani?
 
Tulizeni ball,ManCity hawana ubavu O/Trafford,watapigwa tu,waulizeni Arsenal mpira mwingi waliocheza uliwasaidia nini, mwasema hawa wapiga kelele wa M/City wanaupiga mpira mwingi, utawasaidia nini wakati goli halipatikani,tusubiri hiyo siku haiko mbali
habari mkuu upo?
 
Nasikia babu seya ni mshabiki wa man cty na taarifa zilizopo ni kua kafurahi zaidi ya ile juzi alivoachiwa kwa msamaha wa mh para asee
 
Nasikia babu seya ni mshabiki wa man cty na taarifa zilizopo ni kua kafurahi zaidi ya ile juzi alivoachiwa kwa msamaha wa mh para asee

Haya ukawa cha ajabu timu yako ni zile zenye point 29 sambamba na burnley ila unafurah mashabik wa timu ndogo bana
 
Back
Top Bottom