Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,109
- 1,249,104
Tetesi
MAN UTD WANAMTAKA KINDA WA WHITECAPS
Manchester United wamemwalika kinda wa Vancouver Whitecaps Alphonso Davies kufanya majaribio Januari kwa mujibu wa CTV Edmonton .
Kinda huyo wa miaka 17 ambaye amekuwa mchezaji mdogo zaidi kuichezea timu ya taifa ya Canada majira ya joto, anasubiri kupata kibali kutoka kwenye klabu yake kutua United.