Kwahiyo na wao watapata msamaha? walifurahi sana hao waache na wao waumieJAMBO LA MPITO HILO
MTATOKA KATIKA HAYO MATESO
REF.. BABU SEYA N PAPII KOCHA MTOTO WA MFALME
Wewe umepigwa kwako kwake utaaibishwa
Mwaka huu city kawabaka matembo wote![]()
mbona wewe unapigaAfadhali week hii hamna kelele mtaani
Mimi naamini kushinda dakika za majeruhi si bahati bali ni inaonyesha ni jinsi gani timu husika ilivyo imara ktk mapambano hadi dk ya mwisho mf. Wa hii kumbuka Man U ya ferguson ilikuwa hadi game iishe ndo mpinzani anajua tumeshinda. Kuna kipindi hata sekunde tu ilikuwa na thamani sana kwenye ile timu. Kushinda kibahati ni kama ile ilivyokuwa baina yetu na arsenal, yani mf. Mnakoswa magili mengi ya wazi halafu ninyi mnapata nafasi moja au mbili mnaitumia kisha mnalinda na mnaendelea kukoswa koswa hadi game inaisha.ki ukweli City wanashinda kibahati kuna mechi wanashinda dakika za majeruhi
Ucha Ushabiki Wa Kikasuku Liverpool Msimu Huu Hajafungwa Hata Game Moja Uwanjani Kwake...
Angalau Umetumia Akili Kusema "Mwaka Huu"
We kwan nyuma nilikuwa sikugegedi???Zile Zangu 4 na 4 za Misimu miwili Mfululizo Hazikugegedi? Mbona unawashwawashwa wewe?

Huko mwezi wa nne nadhani utakuwa usharudi nafasini kwako zamaaani
Ww umfunge gunners kwa mpira upi hata kama mkiotea kama last week hamuwezi kutufunga
Kwa sahivi nategemea timu zingine kugawa dozi kwenu,city ashafungua njia
Recall;Mashabiki wa man mnaongea kuliko uwezo halisi wa timu yenu
NB;Sahauni kuhusu ubingwa